Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Shizaga shasamile, shikalekagwa shakaluma miti! Bufakale hu mungu ki ngw'wenuyo? Magufuli ukumona ali Ikulu muda gutinihu kufumila haha. Magufuli akalindagwa na Mungu, atalindagwa na bufakale!

Lizaga kimoso namhala liisalekile, nulu apile hene aliyo abulye ubulagaja.
 
Lizaga kimoso ukubing'we aba bufakale. Ukubise aba ng'wa Mungu Magufuli aliko Ikulu alitumama milimo yakwe, na akutumama nukubutongi zaidi ya miaka iyo uyimanile ubebe. Dimaga mihayo yane yeniyo uyigwe na uyangalile sana

Nahene bebe ilembage, untemi wise asatile eshitale kunombela mhola duhu. Apile wize ayihabule eng’hana, giki ekorona ete ya kwiguseja.
 
Yaan we jamaa ni mpumbavu tena kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mpaka umri huo bado unaamini katika ujinga wa kulishwa huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa alivuna mataahira wenhi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani kama hutaki kuamini, basi wote wana akili duni kama yako!???
 
Olushangiliaga, ogaluka hangi obiza okunombela nang'ho hangi ihaha?

Natushangiliaga, naledaka duhu eng’hana ehayiwe giki unamhala nsatu.

Lenelo ilange wize oye kulemba banhu angu bizuge luhiga duhu!!
 
Rais Wa Malawi Bingu Wa Mutharika Alianguka na kufariki mwezi wa 4/2012 Lakini Ilichukua Zaidi ya Siku 6 Kifo chake kitangazwe.Sababu Kuu ilikuwa hawataki mwanamama Joyce Banda Kuwa Rais Wa Malawi Bali walitaka Kaka wa Rais AMBAYE Ni Peter Mutharika awe Rais,lakini jeshi iliheshimu katiba ya Malawi na likataa Kuweka Nchi Chini ya utawala wa Jeshi.
Kwahiyo hapa mkuu wamaanisha nini?
 
Acha siasa, Tz inaongoza kwa wingi wa majengo lakini inayoongoza kwa huduma bora ni Kenya
rejea tafiti zilizo fanywa na wataalamu wa afya, sio siasa.
Tanzania kwa sasa ndio inaongoza kwa kuwa na huduma bora za afya kuliko nchi zingine Africa Mashariki na kati.
kwa sasa ni kichekesho eti kusema nimekimbizwa nairobi kwa matibabu.
kila kitu sasa kipo bongo. zamani ndio tulikuwa tunasikia mara ohh kapelekwa india mara S.Afrika lkn sasa kila kitu kipo, wataalamu tunao wakutosha hapa hapa Tz.
 
Hakuwa anafikiria kinachokuja baadae, ni mzuri wa kusolve immediate issues. Ule uchaguzi hakuangalia kuwa bila wabunge wa ipinzani itakua issue.

Kwenye Covid aliwaza kuokoa pesa. This is what came next.
Exactly
 
Olushangiliaga, ogaluka hangi obiza okunombela nang'ho hangi ihaha?
Nyerere alisema maumivu yakifika kwenye mfupa watu hurudi kwenye lugha ya mama.

Nimekumbuka kisa kimoja alichosimulia kuhusu ndege aliyokuwa amepanda George Kahama sikumbuki alisema alikuwa anaenda wapi, simulizi ni kuwa kule angani ndege ilileta mushkeli kidogo wa kujitingisha, George Kahama akasema "Oh my God". Ndege ilipovuruga zaidi kidogo akasema "Mama yangu weee!"

Ilipotingishika kwa nguvu zaidi kama vile inadongoka, Kahama akasema kihaya "Maweeeeee!"

Naona wengine wameshafika hapo
 
Hatuwezi wote kuwa viongozi, lakini pia hatuwezi wote kuwa washauri na wahudumu wa viongozi.

Sio dhambi kwa kiongozi kuugua, kuchoka au kupunzika kidogo kama sehemu ya kutunza afya na nguvu za kututumikia sisi wananchi wake. Lakini Inashangaza sana kuona viongozi wetu majukwaani au mbele ya kamera wakiwa wanafanyakazi huku wakionyesha dalili za wazi zinazoonyesha kuwa ama wanaumwa au wamechoka sana kiasi cha kuhitaji matibabu au kuendelea kupunzika ili wapone kabisa. Unamuona kiongozi yuko mbele ya kamera jukwaani au kazini akiwa na ama drip la maji, shuka ya wagonjwa, kiti cha wagonjwa, au anakohoa kila mara anapozungumza au kuwa na dalili za uchovu mwingi, mwili dhaifu au dehydrated (upungukiwa maji mwilini). Kama ukiliendesha gari bovu litazidi kuwa bovu.

Hii sio sawa kwakuwa kuna wenzetu tunawalipa kwa kazi ya kuwashauri na kuwatunza viongozi wetu wakati sisi wenzao tukifanya kazi nyingine za kulihudumia taifa na watu wake.

Ni nini kinasababisha viongozi wetu wajitokeze hadharani au kufanyakazi wakiwa na dalili zinazoonyesha kuwa hawako vizuri kiafya? Alaumiwe nani?
 
Ndugu kwa sasa tuache chuki, tumuombee Muheshimiwa Rais huko aliko. Uwezekano wa kuwa mgonjwa upo, naye ni binadamu kama sisi.

Ila na wana ccm nao waache kushangilia mateso wanayo yapata CHADEMA. Tulipo fika siyo kabisa, sijawahi kuona taifa ambalo lina watu wengi wanafurahia kiongozi wao akipata majanga.

Watanzania tupendane.
Hakika hata Mimi nimesikitiKa sana Kama taifa lazima tuwe wamoja Kama wanayo yasema watu ni kweli maana hakuna mwenye uhakika Tanzania tushikamane chuki hazifai tutalipasua hili taifa tuwaombee viongozi wetu kwa umoja wetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom