Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
Duh kweli asee, kaumwa kitaaambo[emoji849][emoji848]
Brain tumorInasikitisha sana, zamani sana jamaa alikuwa pia ana shida ya kuzima akiwa kwenye gari.
Kuna kipindi nilimwona mataa ya bamaga kasababisha foleni hadi wenzake akina joti na seki kuja kuvunja dirisha na kuingia ndani kuondoa gari.
Hapo nikafahamu Vengu ana shida ya kiafya
Acha kuwa mpumbavu kwa kujitakia, josephat gwajima hana doctorate yoyote ileee
Mlamu kaliandili auPunguza jazba mlamu!
inasababishwa na nini?Brain tumor
Haijulikani,japo uvimbe waweza kuwa cancer ama ukawa uvimbe tu,,ingekuwa ni cancer hangeishi mda mrefu hivyo,,inasababishwa na nini?
Mrema mzee wa unaa
The last emperorAlikosea sana kuigiza hali ya kiafya ya mzee Mrema. Ugonjwa wa mtu siyo wa kufurahia na kuugiza. Maigizo yale yalikuwa yanamdhalilisha na kuumiza nafsi ya Mrema, naamini hivyo.
Katika maisha tunapokuwa wazima, kuna mambo makuu matatu ambayo hutakiwi kumcheka binadamu mwenzako:
- Maradhi;
- Umasikini;
- Ugumba/Utasa/kukosa watoto.
Mambo hayo yaweza mkumba yeyote wakati wowote wa maisha, regardless of your status at the time being.
Pole sana Vengu. I do believe bado upo hai. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika maradhi yako insha'Allah.
Zetu dua.
-Kaveli-
Bibie niko singo njoo basiWenzie wote walishaoa ila yeye hadi sasa bado hajaoa sio? 🤔
hii kitu ni kweli kabisa,mkuuAlikosea sana kuigiza hali ya kiafya ya mzee Mrema. Ugonjwa wa mtu siyo wa kufurahia na kuugiza. Maigizo yale yalikuwa yanamdhalilisha na kuumiza nafsi ya Mrema, naamini hivyo.
Katika maisha tunapokuwa wazima, kuna mambo makuu matatu ambayo hutakiwi kumcheka binadamu mwenzako:
- Maradhi;
- Umasikini;
- Ugumba/Utasa/kukosa watoto.
Mambo hayo yaweza mkumba yeyote wakati wowote wa maisha, regardless of your status at the time being.
Pole sana Vengu. I do believe bado upo hai. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika maradhi yako insha'Allah.
Zetu dua.
-Kaveli-
Ndo hapo alikobugiHuyu si ndio yule alikuwa anadhihaki watu wagonjwa kama mh Mrema. alisahau kuwa "haujafa haujaumbika" Mungu atende miujiza aponye ili aweze kujutia aliyokuwa akiyafanya
Watu wa njombe ndio walivyo roho zao ngumu hatarHasa Masanja, huwa wanasema ana roho ngumu sana.
Mimi sahivi ni Mbibi sifai kitu [emoji70], I missed those days
Joti kahojiwa na salama jabir kwenye yahstone town kasema, jamaa alianguka akapata hitilaf kichwani alienda operation india kipindi flani. Anyways kwa sasa yuko home.Comment no 111 lkn bado sijajua kipi ni kipi. Upi ukweli upi uongo.
Jf inaendelea kupoteza ubora siku hadi siku