Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Status
Not open for further replies.
Papa mwenyewe anaogopa corona kama nini alafu anatokea mtenda dhambi mkubwa na katili anajifanya anamjua MUNGU kuliko watu wengine na kutamba juu
Ndugu,Papa unamuona ndiye mfano wa Mtakatifu kuliko wewe mwenyewe?Mbona hapo maskani mwa Papa kuna skendo na ushahidi wa kulawiti wa watoto?Je na hapo nyumbani kwako kukiwa na skendo na ushahidi wa ulawiti utakatifu utakuwepo?
 
Papa mwenyewe anaogopa corona kama nini alafu anatokea mtenda dhambi mkubwa na katili anajifanya anamjua MUNGU kuliko watu wengine na kutamba juu
U-papa unaweza kuamini ni taasisi iliyoundwa kimkakati?na Inayotumika kupenyeza hila mbaya/Unyonyaji na uovu kwa jamii nyingine hasa ya chini kwa njia ya Imani?
 
Ndugu,Papa unamuona ndiye mfano wa Mtakatifu kuliko wewe mwenyewe?Mbona hapo maskani mwa Papa kuna skendo na ushahidi wa kulawiti wa watoto?Je na hapo nyumbani kwako kukiwa na skendo na ushahidi wa ulawiti utakatifu utakuwepo?
Waulize waliompa utakatifu na siyo mimi na kama una ushahindi kwanini usiende mahakamani?
 
U-papa unaweza kuamini ni taasisi iliyoundwa kimkakati?na Inayotumika kupenyeza hila mbaya/Unyonyaji na uovu kwa jamii nyingine hasa ya chini kwa njia ya Imani?
Ndo mnavyofundishwa madrasa!!???
Elimu Elimu Elimu
 
Covid-19
 
Kwahiyo hapo Ufipa mnaumwa maana siyo Mbowe wala Mnyika anayeonekana hadharani?
Wako mahali salama salimini vinginevyo TBC na vyombo vya Habari vyote, hata vilivyofungiwa vingefunguliwa, vingekuwa vimetangaza hata wakiwa hospitalini. Wanaojua, hali ya Maalim Seiff ikoje?
 
Nadhani jibu la swali halijapatikana bado, mleta mada kauliza yu wapi waziri wa fedha Dr Philip Mpango? [emoji34]
 
Marehemu William Mgimwa alianza hivi hivi.
 
Sijamuona mchungaji wangu kanisani wiki ya pili yuko wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…