Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Na hili sharti ni laonekana rahisi..lakini ni moja ya sharti gumu..maana ukiwa na hela madem ndo wanaletwa ili ukosee..na ukikosea wanakwambia toa damu ili tukusamehe na ili utajiri uendeleee....hapo sasa ndio kazi inapoanzia
Me na amini mashariti marahis popote hakiamung hata kuomba tuu mungu kila siku kuna siku una nute 😂😂
 
Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.

Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji. Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.

Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme
  • Usinunue gari ya kutembelea, jaza milori, tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
  • Unye kichakani tu.
N.k, n.k
Mangi mmoja alikwenda, sharti la Kwanza kabisa akakosea.
Akapewa la pili akawin ndani ya mwaka mmoja kavunja.

Sasa hivi kawa bodaboda kutoka kuwa star mjini mwenge yote alijulikana. Akina Wema, Wolper, and so kawapitia sana.

Aliaambiwa afanye sex na mwanamke mmoja tu. Mipesa ilivyozidi akaona isiwe shida akaanza kutumia na watoto wazuri

Hakuachia mtu mikoba atuondolee kadhia ya kushindwa shindwa kila wakati?
 
Back
Top Bottom