Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Na hili sharti ni laonekana rahisi..lakini ni moja ya sharti gumu..maana ukiwa na hela madem ndo wanaletwa ili ukosee..na ukikosea wanakwambia toa damu ili tukusamehe na ili utajiri uendeleee....hapo sasa ndio kazi inapoanzia
Me na amini mashariti marahis popote hakiamung hata kuomba tuu mungu kila siku kuna siku una nute πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na huyo ndio Sandali Ally Meja kijana mpumbavu kabisa wa mzee meja.
 

Hakuachia mtu mikoba atuondolee kadhia ya kushindwa shindwa kila wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…