Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Hilo ni sharti gumu ndio maana likawekwa hapo. Fikiria umeshakuwa mfanyabiashara mkubwa wewe na wenzako mmeitwa Ikulu na Rais anawasalimia kwa kuwapa mkono utakataa?
 
  • Usitoe pesa kuanzia saa kumi na mbili jioni. (Kuanzia saa moja asubuhi mwisho kumi na mbili jioni)
  • Usitume pesa, wape mikononi
  • Usilale kitandani - Sakafuni tu
 
Nakubali braza. Unakuta unapewa sharti la mwanamke mmoja, afu ndo unashika hela, unaletewa wanawake wa kipepo ama majini mazuri mazuri yakutege, uanguke, wakukule kichwa...🤸🤸
 
Aiseee 🤣🤣 tutafute hela kwakweli
 
Hilo la kuwa na mwanamke mmoja mnalichukulia poa Ila ni gumu mno wakuu..
Kiuhalisia ni gumu, inahitaji nguvu kubwa sana ya kihisia kukabiliana na wanawake wazuri utakaokuwa nao karibu, uvumilivu juu ya kejeli ambazo hao wanawake watakuwa wanakupa kwa kushindwa kuwapiga show licha ya kwamba wanajirahisha kwako, kejeli kama upinde, hauna nguvu za kiume, mshamba na nyingine nyingi za kuzoofisha heshima ya kiume.
 
Sipendi kusalimiana kwa mkono,
Mtu kachokoa mapua,makoro kashika papa huku linakuja kukupa mkono huku linakukenulia..
Salam za kupeana mikono sio salama kiafya

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Naturally wanaume mmeumbwa ni polygamist hivyo inahitaji nguvu mno kupambana na nature,
Mungu awasaidie tu kwa kweli siyo rahisi, huko duniani kuna pisi ni kali hadi mimi mwenyewe wa kike huwa na appreciate uumbaji wa Mungu..!!
 
Itakua watanzania wengi walienda kwa huyo Mganga wakapewa vyeo. Maana kila ninapopita nasikia wakiitana "Mkuu", " Kiongozi", "Bosi", "Mkurugenzi" n.k
 
hiyo ya kunya kichakani ndo yenyewe!!!!,sasa kama upo posta,pale BENJAMIN TOWER ukabanwa utafanyaje?
 
Pia kila Mwaka unatoka ulipo kupeleka ahsante ya Tsh 2000 huko ngende kwa mganga...ili ndio sharti gumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…