Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Umeanza🤣
 
  • Usitoe pesa kuanzia saa kumi na mbili jioni. (Kuanzia saa moja asubuhi mwisho kumi na mbili jioni)
  • Usitume pesa, wape mikononi
  • Usilale kitandani - Sakafuni tu
Kuna jamaa yeye ikiwa unamdai hela, hakupi mchana hata iweje. Hata kama unataka kwenda hospitali hakupi. Ila likishaingia giza tu chapu anakupa.
 
Ngende wapo wengi tu sio huyo tu ,ila wale wengi wanatoa shart la mke mmoja tu basiii
Na hili sharti ni laonekana rahisi..lakini ni moja ya sharti gumu..maana ukiwa na hela madem ndo wanaletwa ili ukosee..na ukikosea wanakwambia toa damu ili tukusamehe na ili utajiri uendeleee....hapo sasa ndio kazi inapoanzia
 
QmmmmmQe
Pesa konyo
 
Nakubali braza. Unakuta unapewa sharti la mwanamke mmoja, afu ndo unashika hela, unaletewa wanawake wa kipepo ama majini mazuri mazuri yakutege, uanguke, wakukule kichwa...🤸🤸
ndio zao, unaweza ona sharti linasema

Huruhusiwi kuwa na Wanawake zaidi ya watatu.

Haraka haraka unaona wanawake watatu tena wazuri niwapendao,wanantosha sanaaa.

Kimbembe kinakuja ukishawapata hao watatu uliojiridhisha ndio wazuri, Hawa wazee wanakuletea PISI WALIZOZIUMBA WAO WENYEWE SASA, unapitishiwa viumbe ambavyo ukifananisha na wake zako unaona ni kumdhihaki muumbaji.

Tena Pisi zenyewe unazoletewa zinajirahisisha kwako yani ni kugusa tu, Sasa Jichanganye Usahau Masharti yako.
 
Kama nakuzoom unavyokunya vichakani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Elezea vzr
 
Hiyo ya kunya kichakani duu, sasa kama tajiri anaishi kariakoo atakunya kichaka kipi [emoji3][emoji3]
 
Ukiwa hauna nguvu za kiume sharti hilo halitakuwepo jamaa wako vyedi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…