Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa


Hivi huyu bibi ndio yule ambaye makazi yake yapo karibu na barabara kuu ya Dar - Mtwara?
 
hapo kwenye kugonga mwanamke mmoja ningefanikiwa kabisaa
 
Na hili sharti ni laonekana rahisi..lakini ni moja ya sharti gumu..maana ukiwa na hela madem ndo wanaletwa ili ukosee..na ukikosea wanakwambia toa damu ili tukusamehe na ili utajiri uendeleee....hapo sasa ndio kazi inapoanzia
mke mmoja rahisi sana, elewa uzaifu wako na kukabiliana nao.. sio umeamua kuwa na mke mmoja, alafu unaenda kukaa mbugani ambapo pisi kali zinakatiza kila mda.. lazima uchane mkeka πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…