Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hapa nilipo tu kama ushanirogaNgoja nimwambie udugu anipe connection nikakuroge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nilipo tu kama ushanirogaNgoja nimwambie udugu anipe connection nikakuroge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaacha mkoba nyuma utabaki unafanya kazi.uzee uzee akapumzike sasa
Hilo la kutovaa suruali ndefu nadhani litanifaa zaidi 🤣🤣🤣! Ni kula pensi mwanzo mwisho.Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.
Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji.
Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.
Utachaguliwa sharti moja, either
N.k, n.k
- Ugonge mwanamke mmoja tu.
- Usilale kwenye nyumba yenye umeme,
- Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
- Usivae viatu vya kufunika
- Usivae suruali ndefu.
- Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
- Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
- Unye kichakani tu.
Mangi mmoja alikwenda, sharti la Kwanza kabisa akakosea.
Akapewa la pili akawin ndani ya mwaka mmoja kavunja.
Sasa hivi kawa bodaboda kutoka kuwa star mjini mwenge yote alijulikana. Akina Wema, Wolper, and so kawapitia sana.
Aliaambiwa afanye sex na mwanamke mmoja tu. Mipesa iluvyozidi akaona isiwe shida akaanza kutumia na watoto wazuri
Waache tu waendelee kutufatilia
Hapa nilipo tu kama ushaniroga
Kichaka kipi sasa au hapo jangwani ? [emoji3][emoji3][emoji3] sasa wanataka kujenga uwanja itakuwaje? Watakuwa kama bweha akibanwa kariakoo kunya mabwepande ha ha ha haKabla hujapupu unakimbilia Chanika[emoji16][emoji16]
Duh munguNi siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.
Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji.
Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.
Utachaguliwa sharti moja, either
N.k, n.k
- Ugonge mwanamke mmoja tu.
- Usilale kwenye nyumba yenye umeme,
- Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
- Usivae viatu vya kufunika
- Usivae suruali ndefu.
- Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
- Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
- Unye kichakani tu.
Mangi mmoja alikwenda, sharti la Kwanza kabisa akakosea.
Akapewa la pili akawin ndani ya mwaka mmoja kavunja.
Sasa hivi kawa bodaboda kutoka kuwa star mjini mwenge yote alijulikana. Akina Wema, Wolper, and so kawapitia sana.
Aliaambiwa afanye sex na mwanamke mmoja tu. Mipesa iluvyozidi akaona isiwe shida akaanza kutumia na watoto wazuri
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama una harisha je !Si unakua ushanunua Mercedes Benz spidi 360 unaamsha had mbabwe pande chapu[emoji28]
Viongozi walikuwa wakienda mtwara lazima wafike kule ha ha haWewe haujawahi kufika
Mkoba lazima utakuwa umebaki na mtu [emoji3]Ataletwa bibi mwingine
Walikuwa wanaenda mnoo itakuwa wamelia sana, nazani mridhi atakuwepo [emoji3][emoji3][emoji3]Kama nikweli litakuwa piga Kwa wabunge wa chama tawala
Ila hawezi kuwa kama yeye si unaona sheikh Yahaya unamsikia mridhi akivuma ?Yupo aliyerithishwa iyo mikoba.
so kaz iendelee!!
Unaacha wooote unaanza upya na wa3 wengine 😄Unamuacha mke mmoja unachukua pisi nyingine..hesabu inarudi kwenye tatu palepale
Shetani hanaga urafiki hata siku moja, ni kula uliweKitu ambacho wengi hawajui ni kwamba hayo masharti huwa hayawezi kutimizwa kwakuwa yana roho ya miujiza ndani yake mfano; wanaume wengi kuchepuka ni kawaida lakini ikumbukwe kuwa wapo wasio chepuka na wanasababu, sasa mtu kama huyu asiyechepuka akipewa sharti la kutochepuka na mganga tayari roho ya kuchepuka humwingia na hakika atachepuka alimradi tu sharti livunjwe ili aharibikiwe yaani arudi nyumbani umasikinini.
Kuna ndugu yangu alichukua hilo sharti la kujisaidia popote lakini siyo nyumbani anakoishi kuna siku aliamka tumbo limemkamata ile anapiga hatua moja ya pili aliharisha karibu nusu kindoo kila kitu kikaishia hapo yupo kijijini anachoma mkaa
Hapo sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Sharti gumu hapo Ni moja tu. La kunya vichakani.
Je siku ukilazwa Muhimbili au hata Amana, Chaka utalipata wapi?
umeenda sawa na Scars ,KirangaAISEE MASHARTI MAZURI SANA HAYO.
NINGEMJUA MAPEMA SASA HIVI NINGEKUWA NA MABASI YANGU YA MIKOANI NA NIINGEYAITAA
NSHOMILE TRAVEL CO.LTD
DAR-BUK, DAR-KAMPALA,DAR-KIGALI, DAR-LUSAKA,DAR-HARARE, DAR-GABORONE
NAJUA HAPO HILO SHARTI LA KUTOMSALIMIA MTU KWA MKONO NI JEPESI NINGELIWEZA TU.
MBINGU NA PEPO NI HAPAHAPA DUNIANI
Hamna nazingua mkuu.. mimi siamini pesa za kwa waganga... na hata hivo sijawahi kwenda kwa mganga na sitakaa niende kwa mgangaNi kweli uko serious unataka hizi pesa za brotherhood?
Kwa sharti hili sahau kuishi Dar.Sharti la mwisho balaa