Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.

Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji.
Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.

Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme,
  • Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
  • Unye kichakani tu.
N.k, n.k
Mangi mmoja alikwenda, sharti la Kwanza kabisa akakosea.
Akapewa la pili akawin ndani ya mwaka mmoja kavunja.
Sasa hivi kawa bodaboda kutoka kuwa star mjini mwenge yote alijulikana. Akina Wema, Wolper, and so kawapitia sana.
Aliaambiwa afanye sex na mwanamke mmoja tu. Mipesa iluvyozidi akaona isiwe shida akaanza kutumia na watoto wazuri
Hii ya kugonga demu moja tu ningeiweza
 
Sasa mbona hakuna dawa hapo?...hayo mashart hata wewe ukiyafuata October tunakuhesabu kama tajir....ebu chunguza hayo masharti yote kama c ya kubana matumizi
 
Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.

Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji.
Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.

Utachaguliwa sharti moja, either
  • Ugonge mwanamke mmoja tu.
  • Usilale kwenye nyumba yenye umeme,
  • Usinunue gari ya kutembelea , jaza milori , tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
  • Usivae viatu vya kufunika
  • Usivae suruali ndefu.
  • Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
  • Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
  • Unye kichakani tu.
N.k, n.k
Mangi mmoja alikwenda, sharti la Kwanza kabisa akakosea.
Akapewa la pili akawin ndani ya mwaka mmoja kavunja.
Sasa hivi kawa bodaboda kutoka kuwa star mjini mwenge yote alijulikana. Akina Wema, Wolper, and so kawapitia sana.
Aliaambiwa afanye sex na mwanamke mmoja tu. Mipesa iluvyozidi akaona isiwe shida akaanza kutumia na watoto wazuri
Oya huyo Mangi mbona kama namjua pale Mwenge.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom