Nimemuonea Huruma sana AdvocateMbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo?
Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu?
Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama kuu?
Je, kuna mpago wa kumweka Lissu kizuizini hadi baada ya uchaguzi mkuu October mwaka huu?
Nachelea kusema pengine kesi hii ni kati ya Lissu na Samia kupitia Polisi na majaji wa Mahakama ya Tanzania.
Lisu ni tishio kwa joka kuu ndo maana wameamua kumficha kwa kumsingizia kesi isiyo na dhamanaMbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo?
Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu?
Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama kuu?
Je, kuna mpago wa kumweka Lissu kizuizini hadi baada ya uchaguzi mkuu October mwaka huu?
Nachelea kusema pengine kesi hii ni kati ya Lissu na Samia kupitia Polisi na majaji wa Mahakama ya Tanzania.
Wewe kwani ulikuwa hujui hili??Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo?
Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu?
Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama kuu?
Je, kuna mpago wa kumweka Lissu kizuizini hadi baada ya uchaguzi mkuu October mwaka huu?
Nachelea kusema pengine kesi hii ni kati ya Lissu na Samia kupitia Polisi na majaji wa Mahakama ya Tanzania.
Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo?
Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu?
Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama kuu?
Je, kuna mpago wa kumweka Lissu kizuizini hadi baada ya uchaguzi mkuu October mwaka huu?
Nachelea kusema pengine kesi hii ni kati ya Lissu na Samia kupitia Polisi na majaji wa Mahakama ya Tanzania.
Sioni Samia atakavyo weza kulishinda hili.Na atakayeshinda bifu hili ndie atakuwa rais wa nchi
Tena sana.Unafikiri kwa lile vuguvugu lake la No reforms no election lingeachwa mpaka leo, si hayo maccm yangekuwa yanapumulia mashine! Hali ilishaanza kuwa tete kutokana na muamko mkubwa watu kujitokeza kwenye mikutano ya Chadema ili kusikiliza madini kutoka kwa viongozi wa chama.
mimi nasubiri tu hiyo baadae. Uhalifu wa wazi namna hii siyo wa kuunyamazia.Weponizing of the judiciary
Samia anavunja katiba
Kumuweka mpinzani wako jela ili upate ushindi kuchaguliwa.
Wote wanaoruhusu hili wanaweza kuwa impeached hapo baadaye pamoja na Jaji Mkuu na Mwanasheria mkuu.