Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Hii ni kweli mkuu, kuna mmoja namfahamu yupo kama huyu(mwili mdogomdogo) lakini kafanikisha mishe ngumu sana na za hatari kuliko unavyoweza kumchukulia.
 
Kwa ufupi tu sisi watu wembamba tunabeba mengi ndo maana hatunenepi labda..😂😂😂. Manake hapo kwanza ncheke🤔😃😃
 
Yaani huyu msee km uliyoyaandika kweli... Hata hao tiss wenyewe wnasubiri aah h h aaaah
 
Huyo jamaa ni TISS kweli. Huwezi kuwa na documents zote hizo kwa kufoji au kufanya matukio. Huyo ni mwenzao ila namna alivyonasa ndio hawajaeleza na itaishia juu juu aachiwe
 
Mbona kama ameweka poz kwaajil ya picha kabisa[emoji16]
 
Kwa akili zangu naweza sema jamaa ni EAGLE pure tu ila probably ka mess up somewhere then kawa framed..An average person u cant posses all the mentioned stuffs.

Wanzanzibar hasa waunguja wana sifa ya kufanya vyema sana kwenye hiki kitengo according to hearsays
 
Do, jamaa yuko vizuri sana asee!.

Ila haya manguo siku hizi yamekuwa fashion yaani kila mtu ananyoa, kuvaa d same like them.

Haya sasa jamaa zangu wa pemba, unguja mkuje hapa tuongelee ujambazi na wizi wa kitaalamu.
Kwan kun kipi cha ajab kuwa na dress code hiyo mbona haina maajabu? Ni nguo tu kama nguo zingine and by the way sio uniform
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…