Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

huyu wanamjua vizuri lazima, one man hawezi kuwa na documaa zote hizo.. i think they threw him out of the system na hakukubali kushindwa.. by the way hawa jamaa wenye hivi vimwili jamii ya wazazanzibari huwa ni spy wa hatari mno..miili yao inajikunja mithiri ya chapati ila hutoamini anavokumaliza ...angalia mwili wake alaf angalia size ya vidole vyake..kimwili kama mpakistani
Hii ni kweli mkuu, kuna mmoja namfahamu yupo kama huyu(mwili mdogomdogo) lakini kafanikisha mishe ngumu sana na za hatari kuliko unavyoweza kumchukulia.
 
YUNUS NASSORO ALLI 32YRS, MSHIRAZI WA KILIMA HEWA AMBAYE ANATUHUMIWA KUJIFANYA MTUMISHI WA SERIKALI "TISS". AMEKAMATWA NA KUPATIKANA NA VITU VIFUATAVYO;

1) PLATE NUMBER NYEKUNDU 112
2)PLATE NUMBER ZA NJANO 27
3)PLATE NUMBER NYEKUNDU 12
4)PLATE NUMBER ZA NJE YA NCHI 2
5)PLATE NUMBER YA VESPA 1 NYEUPE
6) DOLA 200 FAKE ZA KIMAREKANI
7)KADI ZA MAGARI 2 YA OFISI YA RAISI
8)KITAMBULISHO KIMOJA CHA JESHI LA WANANCHI -UN
9)LESENI MOJA YA UDERERA YA UINGEREZA
10)LESENI ZA UDEREVA ZA ZANZIBAR 82
11)KITAMBULISHO CHA MWANAFUNZI WA MICHIGAN
12)STATE HOUSE VISITOR CARD (01)
13)PICHA PASPORT SIZE 5 ZA BAKHARESA
14)KADI 4 ZA BANK TEMBO NA UMOJA NA BACLAYS
15)FATAKI MOJA
16)MHURI MMOJA WA GSY SOLUTION CO
17)VITAMBULISHO VYA MZANZIBAR 4
18)SPARK TORTURE MOJA MBOVU
19)FIMBO YA CHEO YA JESHI LA JKU 1
20)VITAMBULISHO 2 VYA MPIGA KURA
21)KISU CHA KUKATIA VIOO KIMOJA
22)EARPHONE INAYOTUMIWA KWENYE HANDSET KWA MAWASILIANO YA TISS
23)LESENI 4 ZA UDEREVA TANZANIA BARA
24)MAGAMBA YA MAGARI/KADI 607
25)FLASH (03)
26)PASPORT ZA KUSAFIRIA 2 ZA TANZANIA
27)PICHA ZA PASPORT SIZE ZA WATU TOFAUTI 632
28)BARUA TOKA KMKM SMZ
29)BARUA TOKA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI TANZANIA
30)NAKALA NA PASPORT NA VITAMBULISHO VYA RAIA WA KIGENI 09
31)STEMPS ZA ZRB 13
32)VITABU VYA RISITI 09
33)FORM ZA MIKATABA YA MAKABIDHIANO YA SHAMBA NA MAUZIANO YA MAGARI NA KUKOPESHA FEDHA
34)BARUA KUTOKA ZAEKA 1
35)HATI ZA MAKOSA ZA ZRB 09
36)RISITI ZA BODI YA MAPATO ZANZIBAR 45
37)BARUA KUTOKA KAMISHNA WA BODI YA MAPATO REVENUE 37
38) FORM ZA MAOMBI ZA VISA
39)KADI YA GARI YA ALI MOH'D SHEIN RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR
40)FORM YA MAOMBI YA VISA
41)FORM ZA MAOMBI YA VIBATI VYA NAMBA NA RFID STIKA 03
42)FORM ZA MAOMBI YA LEANER 05

AIDHA MTUHUMIWA ALIKUWA NA GARI NO.Z.584 LC NA LILIPOPEKULIWA VITU VIFUATAVYO VIMEPATIKANA KWENYE GARI HILO.
1)UFUNGUO WA PINGU -01
2)FORM YA BODI YA MAPATO ZANZIBAR 01
3)BARUA ZA TOKA OFISI YA DCI, FINGER PRINT RESULT KUMHUSU JAFAR MAHBUB JUMA
4)DOCUMENT ZA KUPASISHA MAGARI MBALI MBALI
5)CERTIFICATE OF REGISTRATION GSYView attachment 2148941
Kwa ufupi tu sisi watu wembamba tunabeba mengi ndo maana hatunenepi labda..😂😂😂. Manake hapo kwanza ncheke🤔😃😃
 
Yaani huyu msee km uliyoyaandika kweli... Hata hao tiss wenyewe wnasubiri aah h h aaaah
 
Huyo jamaa ni TISS kweli. Huwezi kuwa na documents zote hizo kwa kufoji au kufanya matukio. Huyo ni mwenzao ila namna alivyonasa ndio hawajaeleza na itaishia juu juu aachiwe
 
YUNUS NASSORO ALLI 32YRS, MSHIRAZI WA KILIMA HEWA AMBAYE ANATUHUMIWA KUJIFANYA MTUMISHI WA SERIKALI "TISS". AMEKAMATWA NA KUPATIKANA NA VITU VIFUATAVYO;

1) PLATE NUMBER NYEKUNDU 112
2)PLATE NUMBER ZA NJANO 27
3)PLATE NUMBER NYEKUNDU 12
4)PLATE NUMBER ZA NJE YA NCHI 2
5)PLATE NUMBER YA VESPA 1 NYEUPE
6) DOLA 200 FAKE ZA KIMAREKANI
7)KADI ZA MAGARI 2 YA OFISI YA RAISI
8)KITAMBULISHO KIMOJA CHA JESHI LA WANANCHI -UN
9)LESENI MOJA YA UDERERA YA UINGEREZA
10)LESENI ZA UDEREVA ZA ZANZIBAR 82
11)KITAMBULISHO CHA MWANAFUNZI WA MICHIGAN
12)STATE HOUSE VISITOR CARD (01)
13)PICHA PASPORT SIZE 5 ZA BAKHARESA
14)KADI 4 ZA BANK TEMBO NA UMOJA NA BACLAYS
15)FATAKI MOJA
16)MHURI MMOJA WA GSY SOLUTION CO
17)VITAMBULISHO VYA MZANZIBAR 4
18)SPARK TORTURE MOJA MBOVU
19)FIMBO YA CHEO YA JESHI LA JKU 1
20)VITAMBULISHO 2 VYA MPIGA KURA
21)KISU CHA KUKATIA VIOO KIMOJA
22)EARPHONE INAYOTUMIWA KWENYE HANDSET KWA MAWASILIANO YA TISS
23)LESENI 4 ZA UDEREVA TANZANIA BARA
24)MAGAMBA YA MAGARI/KADI 607
25)FLASH (03)
26)PASPORT ZA KUSAFIRIA 2 ZA TANZANIA
27)PICHA ZA PASPORT SIZE ZA WATU TOFAUTI 632
28)BARUA TOKA KMKM SMZ
29)BARUA TOKA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI TANZANIA
30)NAKALA NA PASPORT NA VITAMBULISHO VYA RAIA WA KIGENI 09
31)STEMPS ZA ZRB 13
32)VITABU VYA RISITI 09
33)FORM ZA MIKATABA YA MAKABIDHIANO YA SHAMBA NA MAUZIANO YA MAGARI NA KUKOPESHA FEDHA
34)BARUA KUTOKA ZAEKA 1
35)HATI ZA MAKOSA ZA ZRB 09
36)RISITI ZA BODI YA MAPATO ZANZIBAR 45
37)BARUA KUTOKA KAMISHNA WA BODI YA MAPATO REVENUE 37
38) FORM ZA MAOMBI ZA VISA
39)KADI YA GARI YA ALI MOH'D SHEIN RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR
40)FORM YA MAOMBI YA VISA
41)FORM ZA MAOMBI YA VIBATI VYA NAMBA NA RFID STIKA 03
42)FORM ZA MAOMBI YA LEANER 05

AIDHA MTUHUMIWA ALIKUWA NA GARI NO.Z.584 LC NA LILIPOPEKULIWA VITU VIFUATAVYO VIMEPATIKANA KWENYE GARI HILO.
1)UFUNGUO WA PINGU -01
2)FORM YA BODI YA MAPATO ZANZIBAR 01
3)BARUA ZA TOKA OFISI YA DCI, FINGER PRINT RESULT KUMHUSU JAFAR MAHBUB JUMA
4)DOCUMENT ZA KUPASISHA MAGARI MBALI MBALI
5)CERTIFICATE OF REGISTRATION GSYView attachment 2148941
Mbona kama ameweka poz kwaajil ya picha kabisa[emoji16]
 
Kwa akili zangu naweza sema jamaa ni EAGLE pure tu ila probably ka mess up somewhere then kawa framed..An average person u cant posses all the mentioned stuffs.

Wanzanzibar hasa waunguja wana sifa ya kufanya vyema sana kwenye hiki kitengo according to hearsays
 
Do, jamaa yuko vizuri sana asee!.

Ila haya manguo siku hizi yamekuwa fashion yaani kila mtu ananyoa, kuvaa d same like them.

Haya sasa jamaa zangu wa pemba, unguja mkuje hapa tuongelee ujambazi na wizi wa kitaalamu.
Kwan kun kipi cha ajab kuwa na dress code hiyo mbona haina maajabu? Ni nguo tu kama nguo zingine and by the way sio uniform
 
Back
Top Bottom