Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Nipatie bajeti, sokoni Utaenda na binti wa kazi, au nitakusindikiza nikiwa na muda.Habari za saizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi uombe pesa kwa kutolea maelezo.
Bravoo[emoji122][emoji122]Katika kukua kwangu, Mzee alikua ananichukua kwenda sokoni kuhemea kila alipokua anaweza! angehemea kila kitu, ila bado angeacha pesa ya kutosha ya matumizi, pia hakua anauliza sana vitu vinaishaje labda n.k, Nadhani ni kulingana na jamii tuliyoishi kua chakula kinapikwa kujumuisha na waliokuepo kama mgeni, ndugu, majirani, marafiki waliofika nyumbani kututembelea n.k hvyo hakukua na bajeti rasmi kua chakula kila siku kinapikwa kwa ajili yetu tu!
Mimi pia napenda familia yangu niende nayo hivihvi, haijalishi mke anafanya kazi au la!. ila hatakosa pesa ya matumizi(posho/pocket money) kisa tu nimeshanunua chakula! HAPANA KABISA.

Vipi mkuuUkweli nasema!!
Vipi mkuu
EndeleaKabla ya yote huyo hapo kwenye avatar ni wewe?
Habari za saizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi uombe pesa kwa kutolea maelezo.
Kumuachia beki tatu hapo ni kutengeneza mazingira ya matatizo makubwa zaidi..Hili swal zuri sana au unamwachia hsgirl
Mwanaume anayekuachia hela ya matumizi ndiye bora zaidi. Mwanamke hujiamini sana awapo na hela muda wote.
Kama naona huo mziki wake lazima bmkubwa awaze tofautiKumuachia beki tatu hapo ni kutengeneza mazingira ya matatizo makubwa zaidi..
HongeraMimi nitaacha hela, na bado jioni sirudi mikono mitupu!
Turudi kwenye mada mkuuKabla ya yote huyo hapo kwenye avatar ni wewe?
Je mmezuia wahongwaji kuhongwaAnaweza kuhongwa mtu kwa hela yako, sisi wazanzibari tunaenda sokoni wenyewe
Ukweli nasema 😀Kama naona huo mziki wake lazima bmkubwa awaze tofauti