Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
Nilifikiri nani mkali wa kubugia poda kumbe kuimba!
 
We unajua au unahisi kwanini Noorah aliacha Kuimba??
Alipata ajali ambayo iliathiri maeneo ya kichwa na ilimfanya apoteze kumbukumbu kabisa 'afute memory', aliwahi elezea hili kwa urefu, ingia U-Tube utampata
 
Alipata ajali ambayo iliathiri maeneo ya kichwa na ilimfanya apoteze kumbukumbu kabisa 'afute memory', aliwahi elezea hili kwa urefu, ingia U-Tube utampata
Nimesha kutana na Noorah mara kadhaa Mkuu!
Kwa sasa Yupo shinyanga Kwao Majengo..

Nimeshaongea naye sana nilipopata bahati ya kutembelea Shinyanga kipindi fulani kwenye miaka ya mwaka 2018, 2019 na 2020 kwa nyakati tofauti...

YUko Humble nilipiga naye story nyingi..
Hajapoteza memory ila ni kweli alipata ajali na anadai huenda ajali hiyo ilikuwa imeletwa na maswala ya ushindani kwenye Game..

Na hata hivyo kwa sasa kajikita kwenye Biashara zaidi
 
Kama umetumia kigezo chauteja wao wamadawa hapo sawa twende kaz
 
Back
Top Bottom