Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
james anastahili heshima kubwa sana hata huko kaburini alikopumzika.
mtumikie kafiri uende zako ndicho kilichomkuta yule mzee, alifanya kazi kubwa sana ya kuijenga simba na Tanzania kupitia ulimwengu wa soka lakini alichokivuna ni heshima tupu kutoka kwa walalahoi na matajiri uchwaraJames Siang'a alitupa ubingwa wa ligi bila kufungwa.
James Siang'a siku tunrudiana na Ismailia, tunawachapa 2 - 0 ndani ya nusu saa, mvua inaharibu sherehe.
Yule mdingi alituletea heshima sana.
nakumbuka nilisoma makala yake kwenye gazeti la mwanaspoti mguu wake uliharibika vibaya sana nahisi itakuwa ni sukari ndio ilikatisha uhai wake
Ameipa Yanga mafanikio gani hadi sasa? Au mafanikio ya kubaki ligi juu ya Tanzania?Papaa Zahera hana mpinzani katika hili
Upo sahihi kabisa mkuuAfu hakuwa kocha wa football, alijishughulisha na Netball
tukishamuingiza mola kwenye jambo lolote kinachotokezea baadae ni kufunga mjadala.Kuna Harambee nakumbuka ilifanyika na wana Simba, sina uhakika zilipatikana kiasi gani.
All in all, ni mapenzi ya Mola.
Dragan Popadic na Aussens...na yule mzungu wa yanga ambaye alienda mwadui kisha azam.Hebu leo tumtaje kocha bora wa kigeni ambaye amewahi kufundisha soka hapa bongo katika ligi yetu.
Mimi naanza na Stewart John Hall
Dragan...POPADIC ..wachache watanielewa
Sawa kabisaHans pluijm
Kim Paulsen
Marcio maximo
Papaa zahera