permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Tom Saintfit alifundisha mpira mkubwa sanaVictor stantclaus, Tambwe Leya,Raul Shungu,Rudi Guntendorf, Micho, Plujim(Yanga),/Nabi Camara,Samsorov,Edil Silva, Popadi, Sianga, Patrick Phiri,Omog, Lenchentre na Patrick Aussem( Simba)
Hebu leo tumtaje kocha bora wa kigeni ambaye amewahi kufundisha soka hapa bongo katika ligi yetu.
Mimi naanza na Stewart John Hall
Juliana Matagi Ya Soda
Sam TimbeSam Simbe
Wala hakuwa kocha alikuwa kiongoziUpo sahihi kabisa mkuu
Kocha aliyeipa Simba ubingwa bila kufungwa ni Patrick Phiri pekee, ila nakubali Siang'a alikuwa bonge la coach Simba, alitupeleka champions league 2003 kwa kumtoa bingwa mtetezi Zamalek akishirikiana na Talib HilalJames Siang'a alitupa ubingwa wa ligi bila kufungwa.
James Siang'a siku tunrudiana na Ismailia, tunawachapa 2 - 0 ndani ya nusu saa, mvua inaharibu sherehe.
Yule mdingi alituletea heshima sana.
Professor Victor hana mpinzani, ndiye aliyeipa Yanga ubingwa Mara 5 mfululizo 1968 to 1973 akina Sunday Manara, Maulid Dilunga ni vipaji alivyovikuza. Mwanzilishi wa kwanza wa soka la watoto Tanzania ambalo lilizaa vipaji vya ukweli kuwahi kutokea Tanzania, Kassim Manara, Tostao, Mkweche, Jaffari, Adolph Rishard, Juma Mensah Pondamali nk. Aliwahi kurejea miaka ya 2,000 kama kocha wa Taifa Stars lakini kwa misimamo yake ya umakini aliondoka faster baada ya kuona TFF (FAT) haina weledi.Professor Victor na Tabwe leya hawana wapinzani !
Kocha aliyeipa Simba ubingwa bila kufungwa ni Patrick Phiri pekee, ila nakubali Siang'a alikuwa bonge la coach Simba, alitupeleka champions league 2003 kwa kumtoa bingwa mtetezi Zamalek akishirikiana na Talib Hilal
Kwa kuongezea tu Professor Victor ndiye aliyeifkisha Yanga Robo fainali klabu bingwa ya Africa mwaka 1969 ikiwa ni record wakati huo, na kutolewa kwa kura (yaani kurusha shilingi) na klabu nguli kabisa wakati huo Asante Kotoko ya GhanaProfessor Victor hana mpinzani, ndiye aliyeipa Yanga ubingwa Mara 5 mfululizo 1968 to 1973 akina Sunday Manara, Maulid Dilunga ni vipaji alivyovikuza. Mwanzilishi wa kwanza wa soka la watoto Tanzania ambalo lilizaa vipaji vya ukweli kuwahi kutokea Tanzania, Kassim Manara, Tostao, Mkweche, Jaffari, Adolph Rishard, Juma Mensah Pondamali nk. Aliwahi kurejea miaka ya 2,000 kama kocha wa Taifa Stars lakini kwa misimamo yake ya umakini aliondoka faster baada ya kuona TFF (FAT) haina weledi.
Hakuna ukweli sana kwa Patrick Aussems katika hili, ni kweli ni kocha mzuri anayejua kuusoma mchezo, lakini anabebwa sana ubora wa wachezaji (uwekezaji) wa Simba. Hawezi kukuza vipaji ( Salamba, Kaheza, Rashid nk), misimu miwili ameshindwa kujenga difensi imara Simba na kutolewa na UD Songo kumedhihirisha uwezo wake ni wa kati na si wa kuifikisha Simba lengo wanalolitarajia.Patrck Aussens mnyonge mnyongeni.......
Mkuu hii ni historia ya kweli kabisa ambayo watu wengi hasa vijana wa sasa hawaifahamu. Professor Victor Stanculescu hana mpinzani na kama angeendelea kwa muda kua hapa nchini soka letu lingekua mbali sana. Yeye alikua anatengeneza vijana. Nakumbuka Yanga walikua na vikosi kama vitatu au vinne hiviProfessor Victor hana mpinzani, ndiye aliyeipa Yanga ubingwa Mara 5 mfululizo 1968 to 1973 akina Sunday Manara, Maulid Dilunga ni vipaji alivyovikuza. Mwanzilishi wa kwanza wa soka la watoto Tanzania ambalo lilizaa vipaji vya ukweli kuwahi kutokea Tanzania, Kassim Manara, Tostao, Mkweche, Jaffari, Adolph Rishard, Juma Mensah Pondamali nk. Aliwahi kurejea miaka ya 2,000 kama kocha wa Taifa Stars lakini kwa misimamo yake ya umakini aliondoka faster baada ya kuona TFF (FAT) haina weledi.
Huyo Edil Silva aliwafundisha 'Samba na Diagonal' Simba ilikuwa ukiwatazama unafurahi na roho yako.Victor stantclaus, Tambwe Leya,Raul Shungu,Rudi Guntendorf, Micho, Plujim(Yanga),/Nabi Camara,Samsorov,Edil Silva, Popadi, Sianga, Patrick Phiri,Omog, Lenchentre na Patrick Aussem( Simba)