Yupo wapi siku hizi?

Naipenda sana ya majobless...dah long time..
 
Wapi wapi hawa .
- K basil
- Bob rudala
- Yule dada aliyeimba wimbo (Tupendane) in African Band.
- Juma mjivuni (watu poli)
-Tudy thomas wa Ngoma record
- kali p (imekaa vibaya)
Kali P kuna mtu kasema kawa ustaadh siku hizi
Kal p ndio huyo pembeni ya suma lee ni Sheikh na ndio kamfundisha fundisha sana suma lee mambo ya dini
 
Nimewakumbuka awaa sijuii wako wapi....


Basupa
Devi
Mikala
WintA
Mzee Kankaa
Mzee Chiro
Jini Kabula



Dani msimamo
R toni aliyeimba Lisa
Mzee wa Zuwena ntampata wapii


Dr MAUA DAFTARI


aliyefanya tangazo la usione soo sema naye

Seki na kundi zima la ze comedy

Matumainii
 
We mwenyewe wa juzi kumbe, waloimba mke wa mtu ni sumu ni LWP chin ya man slaughter, big dog pose wameimba nyimbo ya majobless pamoja na rudi mpenz
 
Kuna ile pia ama "Kumwambia au kumuimbia tatizo duniani mi naumia naeeee". [emoji23]
Ilikuwa kama ya kuimba kuimba hii sio hardcore
We mwenyewe wa juzi kumbe, waloimba mke wa mtu ni sumu ni LWP chin ya man slaughter, big dog pose wameimba nyimbo ya majobless pamoja na rudi mpenz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…