Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu c kwamba kamwimba mshikaj wake aliefarik?Jebi si amefariki nadhan mwaka jana
Amefariki hata yeye piamkuu c kwamba kamwimba mshikaj wake aliefarik?
Duuh!sijaiskia hii mkuu,ila jamaa alikua frsh nae enz zakeAmefariki hata yeye pia
Mad Max ft Queen Darleen - Vitu AdimuHuyo Mad Max kuna ngoma yake moja aliimba na masister flan hivi (bila shaka ni unique sisters) naitafuta sana.
Daaaa "DRUM" ni noma kwa kweli.Enika tokea kifo cha kaka yake Roy alipunguza sana kazi za muziki alibaki kufanya matangazo ya voice tu!
Aliyefariki ni P.A.B.L.O yaani PABLO.Kuna mmoja alifariki
Nadhani Critic alikuwa anaishi sinza
Yes demu flani hivi alikuwa ana nyama nyama hivi na mwanya flan hivi amaizing.Kuna yule demu aliimbaga ''kalamu na karatasi vinarahisisha mambo.... " ilikuwa kama rap fulani hivi, chorus aligonga Nuruel nadhani. Huyo demu aliwahi pia kushirikishwa kwenye wimbo fulani by James Dandu.
Huyo mdada jina lake Nani? Na yupo wapi ?
Nilikuwa chalii sana by that time. I liked that song sanaaa.
-Kaveli-
Da Jo Da Jo tumekukubaliiiii ,Na badoooo ft BAD SPARK.'Da Jo' from Kigamboni.... the female emcee who made me start internalising bongo hip hop. I loved muuuch ile flow yake ya kurap.
'Da Jo' yupo wapi nowadays? Anafanya nini?
One of my most favourite female emcees wa bongo hip hop by then.
-Kaveli-
"Inspectah mwenyewe anazimia na mimi akiniona ohoo Miss Kigamboni" - Da JohAh we da jo tumekukubali...
Na bado nadhani kuna swaliii... [emoji23] [emoji23]
Kuna ile, "we si ndo uloleta nyodo, unataka soo"
Amenenepa huyo halafu kawa "MRITO" yaani SHKOPA sharo TINATINA.Nyamayao yupo China anaingiza sauti kwenye vipindi vinavyorushwa na startimes
Hivi kati ya hao nani anayeitwa MWASUBIRA??BDP wametawanyika tawanyika but habari njema ni kwamba hapa majuzi wamesharekodi wimbo bado kuutoa tuu... Issa yupo kigamboni, drez kimara na computer pose nadhani ndio kabaki kino.
Flora nducha na Rose chitala. Umenikumbusha mbali sana. Kuna Abubaqar Sadick. Kuna kibwagizo kiliimbwa nahisi ni banza stone akiwataja watangazaji wa Radio one enzi hizo. Kina Misa ya Bingi (huyu sikuwahi kumfuatilia sana ila nahisi lilikuwa jibaba flani bongebonge) enzi hizo tv ni za kuhesabu, ukimuona mtangazaji wa radio kwenye tv, unasimulia wiki nzimaHabari wakuu.
Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo.
Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa?
1) Flora Nducha wa Radio One
2) Enika wa baridi kama hii
3) Peter Manyika- Kipa wa Yanga
4) Snare wa East Coast Team
5) KR jibaba wa Wanaume TMK
6)Sinta wa Juma Nature
7) Suma Lee na CPWAA
8) Angel Damas aliwahi kua Miss Tanzania
9) K.sal Mwana Mkiwa
10) Edger Maokola Majongo
11) Masood Sura Mbaya
12) Yule mtunzi wa Jumba la Dhahabu
13) Kibakuli na Swebe wa Kaole
14) Tina na Mjuba wa Tausi
15) Mabaga Fresh
List imeongezeka
Wapo wapi hawa?
1) Sekion David
2)Nyamayao
3)Bab lee wa Kizizi
4)Jimmy Plus wa Misukosuko
5)Tabia wa Kidedea
6) Paulin Zongo
7) Mama Terry wa Ushauri Nasaha
8) MB Dogg na Marlaw
9) Sajna na CSir Madini wa Tetemesha
10) Bery Black na Bery White wa Znz
11) LWP
12) Pingu na Deso
13) YP na YDash
14)Nina wa Mambo hayo
15)Besta
Wengine
1) Rose Chitala
2) Danny Msimamo
3) Da Jo
4) Farida RK
5) Dunga Mandugu Digital
6)
7)
8)
9)
10)
11)
12)
13)
14)
15)
Tujuzane tu
Na kama kuna mtu aliwahi kukufurahisha enzi hizo mtaje hapa jungu kuu halikosi ukoko tujue wapo wapi na wanafanya nini.
kulingana na maoni inasemakana wapo wachache wameshatungulia mbele za haki (R.I.P) wapumzike pema!
Ahsanten.