Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Akizingua atastuka tayari Katibu wa Bunge anaitaarifu Tume ya Uchaguzi kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi baada ya Mbunge wake kwa hiyari bila ya kushinikizwa kajiuzulu kwa maslahi ya nchi na chama
Katiba hii inaumiza sana wao wakiambiwa tunataka katiba wanakuwa wakali .ikifika wakati wa kuwamiza wao wanajuta sana.

Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
 
Ndugai bado haamini posho na marupurupu yamemtoka hana access tena
 
Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.

Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.

Nawaza wenzetu Kenya [emoji1139] Rais anawaza kivyake na makamu kivyake. Lakini hata mende hawafi !!
Na inawatesa sana wao majigambo yote na dhihaka kwa wapizani bungeni na kujiona ni mkubwa sana kumbe ukija kwenye katiba spika ni sawa na sisimizi tu.
 
Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo
Bora hajatokea, walichomfanyia God anajua
 
Sumaye, Lowasa, Ndugai, Mkapa wote walihitaji katiba mpya kuliko kitu chochote
 
Inasemekana alizira kushiriki mchakato wa jana akiamini Team yake watazua mjadala mkali wa kupinga kuachia ngazi kwake. Ndiyo maana hata picha ya Maspika waliopita Spika Anie Makinda na Spika Pius Msekwa yeye haonekani. Wakati wanapiga kura yeye alikuwa pale Carnival anajiburudisha na chapatti tamu za pale kwa mchemsho!
 
Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.

Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.
Shetani hana rafiki wala urafiki na yeyote.
Baada ya kulazimishwa kujiuzulu, Ndugayi ndio anaanza kulielewa hilo, alishafikia hatua ya kujiona ni kuwa yeye ni Raia tofauti.
Huku akiwa amejaa tambo nyingi na kushangiliwa na wa shetani, aliweza kufanya lolote, vyovyote, popote, akionea na kudhuru maisha ya wengi. Sasa kabaki peke yake na atalipa peke yake

AKILI NDOGO MISILI YA CHEMBE YA HARADALI
 
Sio duka hii? Makinda tu ndio anaonekana normal.
Ndugu,
Ili uachane na kushukushuku vitu tu, si uwe unajisomeaga japo kidogo tu.
Mzee Pius Msekwa alimaliza Chuo Kikuu Makerere 1959 na kuajiliwa Legislative council 1960,Anna Makinda akiwa na umri wa miaka 11.
 
Sio duka hii? Makinda tu ndio anaonekana normal.
Ndugu,
Ili uachane na kushukushuku vitu tu, si uwe unajisomeaga japo kidogo tu.
Mzee Pius Msekwa alimaliza Chuo Kikuu Makerere 1959 na kuajiliwa Legislative council 1960,Anna Makinda akiwa na umri wa miaka 11.
 
Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo
Mh Lukuvi na Mh Kabudi mbona walikuwepo wakati wa kuapisha mawaziri wapya? Usiniambie Kabudi na Lukuvi si Ndugai kwa sababu wote ni watanzania.
 
Neno mstaafu linatumika vibaya sana.
Wanasiasa hawastaafu,wanaostaafu ni watumishi wa umma (sio kila former ni retired)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…