[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.
Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.
Nawaza wenzetu Kenya [emoji1139] Rais anawaza kivyake na makamu kivyake. Lakini hata mende hawafi !!
amesimama lakini miguu Kama haiko sawasawa vema ingekua video hivi
Mh Lukuvi, Kabudi, Kalemani, Ndugai wamekosea wapi, nipe makosa yao.Mh Lukuvi na Mh Kabudi mbona walikuwepo wakati wa kuapisha mawaziri wapya? Usiniambie Kabudi na Lukuvi si Ndugai kwa sababu wote ni watanzania.
Ndugai? .....KAFOLOMONDO...in senga's voiceKatika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?
Tunamtaka Job!
Soon atatoka kuna mambo anaweka sawa.Tangu aandike barua ya kujiuzulu nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alianza kuonekana kwa nadra sana mbele ya jamii...
Mbona yupo kwake pale mkuuTangu aandike barua ya kujiuzulu nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alianza kuonekana kwa nadra sana mbele ya jamii...
Hakuna haja ya kubumbabumba mambo...mwacheni aishi private life ameshaondokana na public dutiesTangu aandike barua ya kujiuzulu nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alianza kuonekana kwa nadra sana mbele ya jamii...
Nimekoma mimiTangu aandike barua ya kujiuzulu nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alianza kuonekana kwa nadra sana mbele ya jami...
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja...