Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.

Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.

Nawaza wenzetu Kenya [emoji1139] Rais anawaza kivyake na makamu kivyake. Lakini hata mende hawafi !!
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh Lukuvi na Mh Kabudi mbona walikuwepo wakati wa kuapisha mawaziri wapya? Usiniambie Kabudi na Lukuvi si Ndugai kwa sababu wote ni watanzania.
Mh Lukuvi, Kabudi, Kalemani, Ndugai wamekosea wapi, nipe makosa yao.

Waliondelewa kuwapa ajira watoto wa vigogo wachache wanaotuwala.
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!

Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?

Tunamtaka Job!

Ndugai? .....KAFOLOMONDO...in senga's voice
 
Tangu aandike barua ya kujiuzulu nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alianza kuonekana kwa nadra sana mbele ya jamii.

Alionekana mara ya mwisho mbele ya Umma siku aliyoenda kuzungumza na Rais Ikulu ya Dodoma, ambapo lugha ya mwili wake ilionekana kukataana na uhalisia wa kuonana na mkuu wa Nchi.

Kuanzia hapo, Ndugai hajaonekana tena hadharani wala kifichoni. Nimejaribu kuulizia mpaka chawa wake wanasema simu hazipokelewi wala meseji hazijibiwi.

Inawezekana yupo salama au si salama, je kama dola inamzuia kimya kimya ni kwa sababu gani?

1. Tishio kwa usalama wa nchi?
Au
2. Tishio kwa maslahi ya taasisi ya Urais?

Serikali isisubiri watu kutengeneza fununu zitakazoichafua. Ni vyema ofisi ya spika ikaja na tamko kama mstaafu yupo salama aua anatibiwa ili walio wake wamuombee.

Uzi tiari
 
Ni tishio kwa mikopo yenye masharti nafuu ya nchi.
 
Tangu aandike barua ya kujiuzulu nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alianza kuonekana kwa nadra sana mbele ya jamii...
Hakuna haja ya kubumbabumba mambo...mwacheni aishi private life ameshaondokana na public duties
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja...

Nazareth anatembelea nchi yake
 
Back
Top Bottom