Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Hivi hili taifa halina wanahabari makini wa kiuchunguzi kiasi cha kutufahamisha alipo Job Ndugai?

Ikumbukwe Ndugai alikuwa mkuu wa bunge na kiongozi mahili ndio maana kuna soko la Ndugai limejengwa Dodoma.

Kwa nini hamfanyi uchunguzi tufahamu alipo?
 
Hili jambo hata mimi limenishangaza sana.

Yaani kiongozi wa mhimili wa mkuu wa nchi kama bunge tunaelezwa 'amejiuzuru' kiutata utata tena akiwa mafichoni na mpaka leo hii kwa zaidi ya siku 60 hajaonekana hadharani na hakuna chombo chochote cha habari kinahoji, kuchunguza au kufuatilia.
 
Sijui wanapigwa mikwara?
 
Hivi hili taifa halina wanahabari makini wa kiuchunguzi kiasi cha kutufahamisha alipo Job Ndugai?...
Haya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.

Hivyo sisi waandishi tupo, tunajua Ndugai yuko wapi, na kwanini yuko hapo alipo na anafanya nini, ila hatusemi na hatuandiki ili kulinda his right to privacy.
p
 
Ngoja tumsubiri mange kimambi
 
Umejibu vyema tena kwa akili japo ndani yake umeibua hoja nyingine kubwa zaidi
 
Je yuko free pia kuexpress himself na kumove kama katiba unayoiheshimu,come on,kaa kimya
 
Sukuma Gang bana,wakati wa jiwe waandishi wa habari wengi walitoweka na kuteswa mlishangalia mkasema ni vibaraka wa mabeberu leo hii mambo yamekuwa magumu kwenu mnaomba msaada wao.
 
Kumbuka Ndugai ni public figure mkuu. Haina haja ya kuficha alipo.
 
Nadhani atakuwa Kateuliwa BALOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…