Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Afanyiwe overhaulUnabisha na hujui alipo! Nikikwambia unamatatizo kichwani utakataa?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afanyiwe overhaulUnabisha na hujui alipo! Nikikwambia unamatatizo kichwani utakataa?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Haya mambo yanashangaza sana.Hata Jiwe alianza kuuliziwa hivi hivi
Sijui wanapigwa mikwara?Hili jambo hata mimi limenishangaza sana.
Yaani kiongozi wa mhimili wa mkuu wa nchi kama bunge tunaelezwa 'amejiuzuru' kiutata utata tena akiwa mafichoni na mpaka leo hii kwa zaidi ya siku 60 hajaonekana hadharani na hakuna chombo chochote cha habari kinahoji, kuchunguza au kufuatilia.
Mkuu, waandishi wetu hawa wa… ..."AKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI HIZI, KAMANDA WA POLISI WA MKOA..... ",tutegemee kweli habari za UCHUNGUZI?Hivi hili taifa halina wanahabari makini wa kiuchunguzi kiasi cha kutufahamisha alipo Job Ndugai?...
Haya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.Hivi hili taifa halina wanahabari makini wa kiuchunguzi kiasi cha kutufahamisha alipo Job Ndugai?...
Ngoja tumsubiri mange kimambiHaya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.
Hivyo sisi waandishi tupo, tunajua Ndugai yuko wapi, na kwanini yuko hapo alipo na anafanya nini, ila hatusemi na hatuandiki ili kulinda his right to privacy.
p
Umejibu vyema tena kwa akili japo ndani yake umeibua hoja nyingine kubwa zaidiHaya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.
Hivyo sisi waandishi tupo, tunajua Ndugai yuko wapi, na kwanini yuko hapo alipo na anafanya nini, ila hatusemi na hatuandiki ili kulinda his right to privacy.
p
Je yuko free pia kuexpress himself na kumove kama katiba unayoiheshimu,come on,kaa kimyaHaya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.
Hivyo sisi waandishi tupo, tunajua Ndugai yuko wapi, na kwanini yuko hapo alipo na anafanya nini, ila hatusemi na hatuandiki ili kulinda his right to privacy.
p
Sukuma Gang bana,wakati wa jiwe waandishi wa habari wengi walitoweka na kuteswa mlishangalia mkasema ni vibaraka wa mabeberu leo hii mambo yamekuwa magumu kwenu mnaomba msaada wao.Hivi hili taifa halina wanahabari makini wa kiuchunguzi kiasi cha kutufahamisha alipo Job Ndugai?
Ikumbukwe Ndugai alikuwa mkuu wa bunge na kiongozi mahili ndio maana kuna soko la Ndugai limejengwa Dodoma.
Kwa nini hamfanyi uchunguzi tufahamu alipo?
Hivi hili taifa halina wanahabari makini wa kiuchunguzi kiasi cha kutufahamisha alipo Job Ndugai?...
Niretee Gwajiiiiiiimaniretee ndarichako
Kama kipindi kile cha mungu wenu mfu wa ChatoSijui wanapigwa mikwara?
Kumbuka Ndugai ni public figure mkuu. Haina haja ya kuficha alipo.Haya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.
Hivyo sisi waandishi tupo, tunajua Ndugai yuko wapi, na kwanini yuko hapo alipo na anafanya nini, ila hatusemi na hatuandiki ili kulinda his right to privacy.
p
Nadhani atakuwa Kateuliwa BALOZIKatika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?
Tunamtaka Job!