Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Kikawaida KUB pia huhudhuria hafla kama hizo, iwe wa sasa au wa mwisho kushika nafasi hiyo, au hata KUB Kivuli. Mr Mbowe alikuwa Tengeru kwa mkwewe na Tundu Antipathy alikuwa majuu.
 
Sh
Dar nenda salasala we ulizia boda yoyote atakupeleka
Doom anajulikana kwake, kongwa shuka ulizia kwake utaelekezwa
Kamtembele kiongozi wako
Vijana nyie sahv mbona syo majasiri kuwatembelea viongozi makwao

Ova
Shukrian
 
Kama nilivyosema, the right to privacy varies with territories, kwa wenzetu Waingereza, anyone paid by taxpayers, surrender his public and private affairs to the taxpayers, they have to know your public and private conduct because it's their tax money.

Kule akiteuliwa kushika wadhifa fulani, ukiwa na mkeo, ukijulikana tuu kuchepuka, unapoteza kazi. Huku viongozi wanafolenisha vimada, Hadi wanagombaniwa, watoto wanazaliwa out of wedlock, kwetu it's ok!. Haturuhusiwi kuandika private affairs za viongozi. Job Yustino Ndugai yupo hapo alipo, wanaopaswa kujua yuko wapi, wanajua, the rest subirieni vikao vya Bunge mtamuona.

JPM alupoumwa, ikafanywa siri to protect his right to privacy, matokeo yake, kikatukumba kisa cha mficha maradhi!. Laiti tungetangaziwa rais anaumwa, kuna watu wana very strong and powerful healing powers of prayer, wangemuombea saa hizi, JPM angekuwepo.

Hivyo JYN, yupo Ila ni private affairs.
P
 
Tunasubiri Mungu atutendee muujiza kama wa tarehe 17/MACHI/2021!
Huu ni unabii wa majanga!.
P
 
Kaka Pascal, sikajukuelewa vizuri. Kwamba kwa sababu ya "right to pricavy" media hamruhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yeyote. Je, kujua kwenu kwamba yupo wapi, anafanya nini, hakujaivunja hiyo haki, na mmejuaje bila kumfuatilia?
Hamuoni kwa mashaka waliyonayo watanzania juu ya uhuru, usalama, na haki zake yanahitaji majibu?
 
Sisi waandishi wa habari, kuna taarifa za privacies za watu tunakutana nazo by nature ya kazi zetu, hizi zinaitwa "privileged information", hatupaswi kuzimwaga hadharani. Media na sisi waandishi wote tunajua mahali Mhe. JYN alipo na anafanya nini, Kwa vile it's a print issue, hatusemi.
P
 

Pamoja na mapungufu yake Ndugai ni mtanzania mwenzetu.

Alionekana mara ya mwisho Ikulu Dodoma.

Yuko wapi Job Yustino Ndugai?

Serikali, majibu yenu tafadhali.
 
Nasema hivi kile kijamaa sijui kama kitahudhuria bungeni!!hata kama ni mimi bora na ubunge wao , wauchukue tu, kwani tayari ni spika mstaafu, ana shida gani?
Kweli. Kwa kiburi alichonacho na dharau hapo hapo yuko radhi kufukuzwa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…