Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Connect Sasa🤔Fanya uende tu nyumbani kwake ukamjulie hali, omba wa saa upige naye story
Ni kiongoz wako Huyo siyo kosa kufanya
Hivyo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Connect Sasa🤔Fanya uende tu nyumbani kwake ukamjulie hali, omba wa saa upige naye story
Ni kiongoz wako Huyo siyo kosa kufanya
Hivyo
Ova
Kikawaida KUB pia huhudhuria hafla kama hizo, iwe wa sasa au wa mwisho kushika nafasi hiyo, au hata KUB Kivuli. Mr Mbowe alikuwa Tengeru kwa mkwewe na Tundu Antipathy alikuwa majuu.Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?
Tunamtaka Job!
Dar nenda salasala we ulizia boda yoyote atakupelekaConnect Sasa[emoji848]
ShukrianDar nenda salasala we ulizia boda yoyote atakupeleka
Doom anajulikana kwake, kongwa shuka ulizia kwake utaelekezwa
Kamtembele kiongozi wako
Vijana nyie sahv mbona syo majasiri kuwatembelea viongozi makwao
Ova
Kama nilivyosema, the right to privacy varies with territories, kwa wenzetu Waingereza, anyone paid by taxpayers, surrender his public and private affairs to the taxpayers, they have to know your public and private conduct because it's their tax money.Itabidi nikubaliane kutokukubaliana ili mjadala usiwe mrefu.
Kwasababu Job anaweza kuwa ni role model kwa baadhi ya watu. Lakini pia ni public figure, kwahivyo suala la mahali alipo kwa sasa, na maoni yake baada ya kujiuzulu haiwezi kuwekwa kwenye haki ya faragha. Labda kama kuna kilichojificha nyuma ya pazia!
Huu ni unabii wa majanga!.Tunasubiri Mungu atutendee muujiza kama wa tarehe 17/MACHI/2021!
Kaka Pascal, sikajukuelewa vizuri. Kwamba kwa sababu ya "right to pricavy" media hamruhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yeyote. Je, kujua kwenu kwamba yupo wapi, anafanya nini, hakujaivunja hiyo haki, na mmejuaje bila kumfuatilia?Haya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.
Hivyo sisi waandishi tupo, tunajua Ndugai yuko wapi, na kwanini yuko hapo alipo na anafanya nini, ila hatusemi na hatuandiki ili kulinda his right to privacy.
p
Sisi waandishi wa habari, kuna taarifa za privacies za watu tunakutana nazo by nature ya kazi zetu, hizi zinaitwa "privileged information", hatupaswi kuzimwaga hadharani. Media na sisi waandishi wote tunajua mahali Mhe. JYN alipo na anafanya nini, Kwa vile it's a print issue, hatusemi.Kaka Pascal, sikajukuelewa vizuri. Kwamba kwa sababu ya "right to pricavy" media hamruhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yeyote. Je, kujua kwenu kwamba yupo wapi, anafanya nini, hakujaivunja hiyo haki, na mmejuaje bila kumfuatilia?
Hamuoni kwa mashaka waliyonayo watanzania juu ya uhuru, usalama, na haki zake yanahitaji majibu?
Wapi hiyoo!
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?
Tunamtaka Job!
Kweli. Kwa kiburi alichonacho na dharau hapo hapo yuko radhi kufukuzwa.Nasema hivi kile kijamaa sijui kama kitahudhuria bungeni!!hata kama ni mimi bora na ubunge wao , wauchukue tu, kwani tayari ni spika mstaafu, ana shida gani?