Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Leta selfie uliyopiga naye hapo unapopaita KWAKE
Iyo hapo
892.jpg
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!

Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?

Tunamtaka Job!

Napinga kumwita spika mstaafu, neno mstaafu lina maana yake na lina heshima zake, wapo wanaostahili kupewa heshima hizo, siyo hata wahuni wanaitwa wastaafu, watafutieni jina lao linaloendana na matendo yao
 
Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo
Kura yake ni Kati ya zile 376.
Tunajua kabisa kwamba hakuwepo bungeni.
Ni mangapi tunadanganywa toka bungeni?
Ndio maana bunge LIVE mtaishia la Kenya.
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!

Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?

Tunamtaka Job!

Hivi kufukuzwa ni kustaafu?
 
Napinga kumwita spika mstaafu, neno mstaafu lina maana yake na lina heshima zake, wapo wanaostahili kupewa heshima hizo, siyo hata wahuni wanaitwa wastaafu, watafutieni jina lao linaloendana na matendo yao
Hicho ni kiswahili rasmi cha mtu anaeachia mjukumu fulani, sasa kama unaona sio sahihi jaribu kutunga lako.
 
Amefika mwishoni mwa majukumu yake katika muda aliopangiwa kuitumikia nafasi husika, huyu angeitwa mstaafu 2025
 
Back
Top Bottom