Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Haya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.

Hivyo sisi waandishi tupo, tunajua Ndugai yuko wapi, na kwanini yuko hapo alipo na anafanya nini, ila hatusemi na hatuandiki ili kulinda his right to privacy.
p
Hapana. Sidhani kama ni sahihi kusema kwamba ni haki ya faragha kwa kutofahamishwa alipo spika ndugai baada ya kujiuzulu!
Mbona watanzania wengine waliowahi kuwa viongozi tunafahamu walipo na wanachofanya ikiwa ni pamoja na waliokimbia nchi, akina tundu nk!
Natamani kujua alipo spika ndugai na kusikia japo maoni yake baada ya kujiuzulu. Ni vema tukafahamishwa!
 
Mkuu Lanlady , the principle of the the right to privacy, operates with the right to disclosure, kama ilivyo kwa mgonjwa na dakitari, dakitari nesi, au hospitali, inajua mgonjwa anaumwa nini, lakini hawaruhusiwi to disclose, ila mgonjwa mwenyewe au familia yake wakiamua kusema, that is their right. Hivyo Job Ndugai yupo, tunajua yuko wapi, tunajua anafanya nini, kama mwenyewe hajaamua kusema, sisi media hatuwezi ku disclose.

Hii the right to privacy ni teritorial, wenye haki ya kumuulizia Ndugai yuko wapi, ni wana Kongwa, na wanatakiwa wamuulizi huko Kongwa. Kama mtoa mada ni mwana Kongwa, na yuko Kongwa na hajamuona mbunge wake, ana haki ya kumuulizia lakini sio sio kutubeza sisi waandishi kuwa hatuandiki alipo JYN!, huku ni kutuonea bure!.
P
 
Akae huko huko, alikuwa spika wa ovyo sana, alifanya kazi kama kada wa CCM alisahau kazi yake muhimu ni kuiangalia serikali (executive branch) inafanya kazi yake inavyotakiwa akabaki kukomesha na kuua upinzani bungeni, alishindwa hata kufanya uchunguzi au kutoa pesa za matibabu kwa mbunge wake aliyepigwa risasi kwa sababu ni mpinzani tuu, akikutwa mtaani apigwe tuu
 
Mkuu Lanlady , the principle of the the right to privacy, operates with the right to disclosure, kama ilivyo kwa mgonjwa na dakitari, dakitari nesi, au hospitali, inajua mgonjwa anaumwa nini, lakini hawaruhusiwi to disclose, ila mgonjwa mwenyewe au familia yake wakiamua kusema, that is their right. Hivyo Job Ndugai yupo, tunajua yuko wapi, tunajua anafanya nini, kama mwenyewe hajaamua kusema, sisi media hatuwezi ku disclose.

Hii the right to privacy ni teritorial, wenye haki ya kumuulizia Ndugai yuko wapi, ni wana Kongwa, na wanatakiwa wamuulizi huko Kongwa. Kama mtoa mada ni mwana Kongwa, na yuko Kongwa na hajamuona mbunge wake, ana haki ya kumuulizia lakini sio sio kutubeza sisi waandishi kuwa hatuandiki alipo JYN!, huku ni kutuonea bure!.
P
Mkuu Pascal Kwa heshima Yaa JF nipe location Ya NYJ nilete hapa. Huyo Ni Mbunge wetu Hana haki ya kujificha.
 
Kumbuka Ndugai ni public figure mkuu. Haina haja ya kuficha alipo.
Sio kuficha alipo, bali yuko kwenye private issue!, kwa sasa huyu ni Spika mstaafu, angakuwa bado ni Spika, hapo sawa. Ila kama wewe ni mwana Kongwa, na uko Kongwa na humuoni, then you have the right kumuulizia huko Kongwa na sio kulaumu waandishi. Kama tutaanza kuhoji kila mbunge yuko wapi, then patakuwa hapatoshi!.
P
Mkuu Pascal Kwa heshima Yaa JF nipe location Ya NYJ nilete hapa. Huyo Ni Mbunge wetu Hana haki ya kujificha.
Hajajificha, bali yuko kwenye a private issue.
P
 
Sio kuficha alipo, bali yuko kwenye private issue!, kwa sasa huyu ni Spika mstaafu, angakuwa bado ni Spika, hapo sawa. Ila kama wewe ni mwana Kongwa, na uko Kongwa na humuoni, then you have the right kumuulizia huko Kongwa na sio kulaumu waandishi. Kama tutaanza kuhoji kila mbunge yuko wapi, then patakuwa hapatoshi!.
P

Hajajificha, bali yuko kwenye a private issue.
P
Alimfukuza ubunge LISSU, kisa hajui aliko na yeye afukuzwe dadeki
 
Kulikuwa na kijiji cha kuweka watu wasumbufu, yupo kiongozi mmoja kutoka huko nyuma ya bahari aliwahi hifadhiwa pale,

Unapewa kila kitu ila communication barrier.

Hadi ukufe unaenda kuzikwa kwenu.

Nauliza ile kambi ikiitwa kizuizini kama bado ipogo
 
Unataka kusema Ndugai yupo huko?
 
Mkuu Lanlady , the principle of the the right to privacy, operates with the right to disclosure, kama ilivyo kwa mgonjwa na dakitari, dakitari nesi, au hospitali, inajua mgonjwa anaumwa nini, lakini hawaruhusiwi to disclose, ila mgonjwa mwenyewe au familia yake wakiamua kusema, that is their right. Hivyo Job Ndugai yupo, tunajua yuko wapi, tunajua anafanya nini, kama mwenyewe hajaamua kusema, sisi media hatuwezi ku disclose.

Hii the right to privacy ni teritorial, wenye haki ya kumuulizia Ndugai yuko wapi, ni wana Kongwa, na wanatakiwa wamuulizi huko Kongwa. Kama mtoa mada ni mwana Kongwa, na yuko Kongwa na hajamuona mbunge wake, ana haki ya kumuulizia lakini sio sio kutubeza sisi waandishi kuwa hatuandiki alipo JYN!, huku ni kutuonea bure!.
P
Itabidi nikubaliane kutokukubaliana ili mjadala usiwe mrefu.
Kwasababu Job anaweza kuwa ni role model kwa baadhi ya watu. Lakini pia ni public figure, kwahivyo suala la mahali alipo kwa sasa, na maoni yake baada ya kujiuzulu haiwezi kuwekwa kwenye haki ya faragha. Labda kama kuna kilichojificha nyuma ya pazia!
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!

Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?

Tunamtaka Job!

Tunasubiri Mungu atutendee muujiza kama wa tarehe 17/MACHI/2021!
 
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!

Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?

Tunamtaka Job!

Wajameni tunaomba kujua alipo job.Tumemis kweli kweli.
 
Itabidi nikubaliane kutokukubaliana ili mjadala usiwe mrefu.
Kwasababu Job anaweza kuwa ni role model kwa baadhi ya watu. Lakini pia ni public figure, kwahivyo suala la mahali alipo kwa sasa, na maoni yake baada ya kujiuzulu haiwezi kuwekwa kwenye haki ya faragha. Labda kama kuna kilichojificha nyuma ya pazia!
Ulijaribu kwenda nyumban kwake kumulizia mkuu

Ova
 
Fanya uende tu nyumbani kwake ukamjulie hali, omba wa saa upige naye story
Ni kiongoz wako Huyo siyo kosa kufanya
Hivyo

Ova
 
Back
Top Bottom