Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange kituhabarisha waanze kumlaumuNgoja tumsubiri mange kimambi
Hapana. Sidhani kama ni sahihi kusema kwamba ni haki ya faragha kwa kutofahamishwa alipo spika ndugai baada ya kujiuzulu!Haya ni mambo ya kuelimishana tuu, kuna kitu kinachoitwa "the right to privacy", media huturuhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yoyote.
Hivyo sisi waandishi tupo, tunajua Ndugai yuko wapi, na kwanini yuko hapo alipo na anafanya nini, ila hatusemi na hatuandiki ili kulinda his right to privacy.
p
Mkuu Lanlady , the principle of the the right to privacy, operates with the right to disclosure, kama ilivyo kwa mgonjwa na dakitari, dakitari nesi, au hospitali, inajua mgonjwa anaumwa nini, lakini hawaruhusiwi to disclose, ila mgonjwa mwenyewe au familia yake wakiamua kusema, that is their right. Hivyo Job Ndugai yupo, tunajua yuko wapi, tunajua anafanya nini, kama mwenyewe hajaamua kusema, sisi media hatuwezi ku disclose.Hapana. Sidhani kama ni sahihi kusema kwamba ni haki ya faragha kwa kutofahamishwa alipo spika ndugai baada ya kujiuzulu!
Mbona watanzania wengine waliowahi kuwa viongozi tunafahamu walipo na wanachofanya ikiwa ni pamoja na waliokimbia nchi, akina tundu nk!
Natamani kujua alipo spika ndugai na kusikia japo maoni yake baada ya kujiuzulu. Ni vema tukafahamishwa!
Mkuu Pascal Kwa heshima Yaa JF nipe location Ya NYJ nilete hapa. Huyo Ni Mbunge wetu Hana haki ya kujificha.Mkuu Lanlady , the principle of the the right to privacy, operates with the right to disclosure, kama ilivyo kwa mgonjwa na dakitari, dakitari nesi, au hospitali, inajua mgonjwa anaumwa nini, lakini hawaruhusiwi to disclose, ila mgonjwa mwenyewe au familia yake wakiamua kusema, that is their right. Hivyo Job Ndugai yupo, tunajua yuko wapi, tunajua anafanya nini, kama mwenyewe hajaamua kusema, sisi media hatuwezi ku disclose.
Hii the right to privacy ni teritorial, wenye haki ya kumuulizia Ndugai yuko wapi, ni wana Kongwa, na wanatakiwa wamuulizi huko Kongwa. Kama mtoa mada ni mwana Kongwa, na yuko Kongwa na hajamuona mbunge wake, ana haki ya kumuulizia lakini sio sio kutubeza sisi waandishi kuwa hatuandiki alipo JYN!, huku ni kutuonea bure!.
P
Sio kuficha alipo, bali yuko kwenye private issue!, kwa sasa huyu ni Spika mstaafu, angakuwa bado ni Spika, hapo sawa. Ila kama wewe ni mwana Kongwa, na uko Kongwa na humuoni, then you have the right kumuulizia huko Kongwa na sio kulaumu waandishi. Kama tutaanza kuhoji kila mbunge yuko wapi, then patakuwa hapatoshi!.Kumbuka Ndugai ni public figure mkuu. Haina haja ya kuficha alipo.
Hajajificha, bali yuko kwenye a private issue.Mkuu Pascal Kwa heshima Yaa JF nipe location Ya NYJ nilete hapa. Huyo Ni Mbunge wetu Hana haki ya kujificha.
Alimfukuza ubunge LISSU, kisa hajui aliko na yeye afukuzwe dadekiSio kuficha alipo, bali yuko kwenye private issue!, kwa sasa huyu ni Spika mstaafu, angakuwa bado ni Spika, hapo sawa. Ila kama wewe ni mwana Kongwa, na uko Kongwa na humuoni, then you have the right kumuulizia huko Kongwa na sio kulaumu waandishi. Kama tutaanza kuhoji kila mbunge yuko wapi, then patakuwa hapatoshi!.
P
Hajajificha, bali yuko kwenye a private issue.
P
Unataka kusema Ndugai yupo huko?Kulikuwa na kijiji cha kuweka watu wasumbufu, yupo kiongozi mmoja kutoka huko nyuma ya bahari aliwahi hifadhiwa pale,
Unapewa kila kitu ila communication barrier.
Hadi ukufe unaenda kuzikwa kwenu.
Nauliza ile kambi ikiitwa kizuizini kama bado ipogo
Itabidi nikubaliane kutokukubaliana ili mjadala usiwe mrefu.Mkuu Lanlady , the principle of the the right to privacy, operates with the right to disclosure, kama ilivyo kwa mgonjwa na dakitari, dakitari nesi, au hospitali, inajua mgonjwa anaumwa nini, lakini hawaruhusiwi to disclose, ila mgonjwa mwenyewe au familia yake wakiamua kusema, that is their right. Hivyo Job Ndugai yupo, tunajua yuko wapi, tunajua anafanya nini, kama mwenyewe hajaamua kusema, sisi media hatuwezi ku disclose.
Hii the right to privacy ni teritorial, wenye haki ya kumuulizia Ndugai yuko wapi, ni wana Kongwa, na wanatakiwa wamuulizi huko Kongwa. Kama mtoa mada ni mwana Kongwa, na yuko Kongwa na hajamuona mbunge wake, ana haki ya kumuulizia lakini sio sio kutubeza sisi waandishi kuwa hatuandiki alipo JYN!, huku ni kutuonea bure!.
P
Tunasubiri Mungu atutendee muujiza kama wa tarehe 17/MACHI/2021!Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?
Tunamtaka Job!
Wajameni tunaomba kujua alipo job.Tumemis kweli kweli.Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai? Na kwa nini asitokelezee kwenye picha ya ukumbusho?
Tunamtaka Job!
Ulijaribu kwenda nyumban kwake kumulizia mkuuItabidi nikubaliane kutokukubaliana ili mjadala usiwe mrefu.
Kwasababu Job anaweza kuwa ni role model kwa baadhi ya watu. Lakini pia ni public figure, kwahivyo suala la mahali alipo kwa sasa, na maoni yake baada ya kujiuzulu haiwezi kuwekwa kwenye haki ya faragha. Labda kama kuna kilichojificha nyuma ya pazia!
Anakula pension ana haraka gani kujitokeza hana shida.Wajameni tunaomba kujua alipo job.Tumemis kweli kweli.
Afanye TU kama anajikuna popote alipo tumsalimu.Anakula pension ana haraka gani kujitokeza hana shida.