Yusuf Manji arejea Tanzania

Ni kweli kuwa kodi haikukusanywa? Hii nchi tumeanza kupata maendeleo 2015?
 
Kwani hakusema tutamkumbuka? Mbna alisema baba jesca.
 
Yaani tunataka serikali itoe kibali kwa mwekezaji kujenga jengo la bilioni kadhaa ili afanye biashara halafu itoe kibali pia machinga wauze mbele ya jengo hilo hilo......
 
Huyu c ndo alimwambiaga Mwendazake, Siongei na Mbwa ,nitaongea na Mwenye mbwa, Sasa Mbwa Kafa Kaja kuongea na nani sijui [emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kuwa kodi haikukusanywa? Hii nchi tumeanza kupata maendeleo 2015?
kodi nakusanywa toka awali lkn wasaliti ni serikali / mtanzania mwenyewe, kama afisa wa tra anamlinda mfanyabiashara huwezi kumlaumu huyo mfanya bishara kwa kuwa nae anatafuta super profit. wa kulaumiwa ni huyo anayemlinda.

ingawa hoja yangu hapo ilikuwa ni kumjibu niliyem quote ambaye anasema manji alikuwa anakwepa kodi.
 
Hayakuhusu ww kula ugali maharage ulale yanga tunahitaji fraha
 
They are comin' back to eat the defenseless hut, they had no such access some years now!

Let's see what happens!
 

..angejiweka karibu na rostam aziz?
 
Kuwanga mchana sio jambo jema,
YANGA SASA KIFUA MBELE...!
TUMENYANYASIKA SANA...!
 
Wakati nchi hii ilipogeuzwa shamba la bibi wewe ulifaidika na nini au ulikua sehemu ya wakwepa kodi,mliozoea kuishi kijanjajanja🤣
Ni kweli sio kwamba awamu ya 5watu hawajaiba lkn wizi ulidhibitiwa kwa kiwango flani hata fedha tuliona budget kwenye wizara mbalimbali ikiongezeka.
Sioni shida deni la Taifa kuongezeka ikiwa fedha zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo na kutumika ipasavyo.
Gharama za matibabu zimepanda kwa kiwango gani?je upatikanaji wa huduma zenyewe umeboreshwa upo vilevile? Unapobadilisha na kuondoa mifumo dhalimu yegemea mayowe na hali mbaya kwa wanufaika wa mifumo hiyo.
Kweli watanzania wengi tulishazoea kula makombo ndiomana tunatetea majizi,wahalifu na kila aina ya ufedhuli kwakuwa no ndio waliokuwa wanaleta pesa mitaani baada ya kuwaibia walipa kodi.
Maendeleo yataletwa na wewe mwanamchi baada ya kubadili fikra hizo za kimaskini na kitumwa.
 

Soma hili bandiko la member mwenzetu labda utaelewa.

Matajiri wengi ni MAFISADI wakubwa mno.
Chukulia mfano Yusuph Manji, anakopa bilioni 10 toka NSSF ananunua na kurabati quality plaza na na Ubungo Godowns, miezi mitatu baadae anawauzi NSSF Ubungo Godowns kwa bilioni 50 then anawauzia PSPF ile Quality Plaza kwa karibia 40 bilioni, jumla ni takriban bilioni 90
Halafu anabaki Kama mpangaji pale Quality bila kulipa mpaka deni linafikia bilioni 13!!!
Au angalia ule Mradi wa dege eco village, mtu kakopa NSSF anenda kununua ekari 300 Kisha anarudi kuuwauzia haohao NSSF kwa Bei ya milioni 800 kwa eka moja Kama hisa kwenye mradi na anakuwa main shareholder..
Manji huyu kachota Dola milioni 29 kupitia kashfa ya kagoda, karibu bilioni 27 za kibongo.
Manji huyu ndio kachukua viwanja vya waislamu na kuuwauzia hao security funds..
Bado Kuna issue ile ya Coco Beach
Kifupi huwezi kuwa na matajiri wanaopata utajiti wao kwa njia za kina Manji..
Ni kuaibika
Ni kudharaulika
Ni kujitukanisha
Ni kashfa
 
Umeongea vizuri mkuu, ila hayo mambo yote na mianya inapitia sector zetu, ndio kwenye ubovu wala sio yeye... watumishi wa uma ndio wanakosa uhadilifu
 
Mimi siko entertained sana na hawa raia wa Kiasia mana kwanza sio wajenzi wa nchi yetu wao ni wavunaji mbali zaidi wamekuwa wakifanya biashara za madawa ambao mwisho huharibu na kutengeneza taifa la vijana tegemezi bado kwenye izo industries zao, Safety kwa wafanyakazi iko chini sana na pia mishahara ina tia huruma, Hawa watu wameshika uchumi wetu pakubwa tudeal nao kwa akili na tuwe long term plan ya kugroom moguls wengi wenye utaifa asilia wa Tanzania, those asians are monsters
 
Sasa asipopata faida atawezaje kulipa hiyo kodi? We ulitaka awe na mawazo ya kupata hasara aisee,
Dhumuni LA biashara yeyote ni kupata faida , kupitia faida ndio unaweza kulipa kodi , kulipa mishahara n.k .
Tatizo watu wengine mmewekeza kwenye roho mbaya tu huwa hampendi kung'amua mambo.
Unajua kua manji alipoondoka na soko LA mbaazi likapotea na wakulima Wa mbaazi wakapitia wakati mgumu .mpaka Leo soko LA mbaazi halieleweki kabisa .
Pia Jamaa alikua ameajiri watu wengi tu ambao walikua wanapata riziki kupitia yeye
 
Kuna watu walikula hela za Kule Bukoba wakaenda kujenga Miundombuni ya Kule Chato

Kuna watu pia walikula hela za rambirambi za wale watoto wa St.Vicent..kelele zilipoanza wakazuga pale Stadium.
Hao wote walikuwa watetezi na Wazalendo.
 
Daa!Sasa hayo yote alikuwa anayafanya pekee yake?tu!!inaonekana hakuwa anatumia nguvu kuyafanya hayo sasa hao waliomsaidia mbona ktk mahakama ya mafisadi hadi leo cjasikia mtu amekwenda kunyea ndoo?!!kifupi hao matajiri wote na ccm lao ni moja tu, nani asiyemjua yule ambaye aliachana na siasa uchwara, enzi za jk na kila ufisadi hakukosa, lakini awamu ya jpm, ndio akawa swaiba wake mkubwa, hadi akamuomba kugombea ubunge?!!, yule aliyekuwa akiibia tra, mamilioni kwa dakika yuko wapi, ila mwendazake jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…