sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
washihiri ndo watu gani?Huyu atakua tofauti na wenzie, mhindi kumkuta na nyumba au gari ya kutembelea nadra sana labda wachache tena za bei chee.
Washihiri/mahara na wahindi hawapishani sana
Kwani hizo za Msajili kajenga Nani Mkuu?Alafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili
ilikuwa enzi zile,sasa hivi wanajenga sana tuAlafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili
Sema wengine tumejiwenga tupo kwenye kapu la kuwachukia waliofanikiwa na akiwa na rangi tofauti tuu basi kumbe wapo wazawa na wezi tuu na kodi hawalipi...Hivi akija muhindi aka anzisha kiwanda au pengine akachukua kiwanda kilichotelekezwa mfano kiwanda cha Tumbaku/Nguo nk, akaajiri watanzania wa kawaida tena ambao hawana ujuzi zaidi ya 300, akasaidia wakulima wa Pamba/ Tumbaku wakapata bei nzuri, huku akiwalipa wafanyakazi/watanzania mishahara waendeshe maisha yao; Kipi bora? tuache kiwanda kiwe gofu?
Acheni basi kuwa na ukoloni wa fikra.
Ujue maskini na matajiri wanategemeana; Bila hao kina Manji na masikini hawawezi kupata hela
Ngoja tukupe chapi yakeHivi Makonda hajakimbilia USA baada ya JPM kuitwa mbinguni kweli?
Simuoni hapa TZ kabisa
Bwashee sina mbavu 🤣🤣Ngoja tukupe chapi yakeView attachment 1806606
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23]Bwashee sina mbavu [emoji1787][emoji1787]
Naskia ni mchungaji na ana lake kanisa hapohapo bongoHivi Makonda hajakimbilia USA baada ya JPM kuitwa mbinguni kweli?
Simuoni hapa TZ kabisa