TANZIA Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani

Naomba uhakiki kuhusu hili.
 

Attachments

  • Screenshot_20240630-205551.png
    341 KB · Views: 3
Yaani linapokuja suala la kifo usawa si na binadamu mwenzako tu, hata nguruwe na ukharamu wake au mbwa na uchafu wake nao wanakufa wanaoza. Nature haijali kuwa tutazikwa kaburini au pembeni ya nyumba ya kifahari uliyojenga au utatupwa porini.
 
Aliyewahi kuwa muwekezaji wa klabu ya Yanga SC na Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL) Yusuf Manji amefariki dunia leo, Juni 30, 2024.

Taarifa zaidi kukujia....

Duniani tunapita tu hakuna cha jiwe, chuma wala nini.

Ametangulia Yusuph Manji, wafu watarajiwa tuko nyuma yao.

Who's next?

MK254, Kigogo Mzee na wale wengine, Tel Aviv pale kwa utambuzi.
 
Huyu manji atazikwa India, US au TZ? Muda utatujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…