Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

Huo utakuwa ufala basi! Yaani hujui hata majukumu ya TAKUKURU yanavyotofautiana na CAG?
 

Amekuja tena kwenye shamba la bibi? Wajinga ndio waliwao
 
tuacheni tabia ya kila kinachofanywa na wateule wa Mh. Rais tunamtuhumu yeye hivi ameteua watumishi ili iweje?
 
Punguza mihemko bro, manji ni janja janja wa kihindi, sio kama ni mwekezaji ndio asifate taratibu za nchi.
 
Kwahiyo hutaki ahojiwe kwasababu wengine hawajahojiwa? Huko Bavicha mnalishwa nini?? Kichwa chako kimejaa minyoo tu.
Wewe mbweha uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala umbumbumbu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, nani kakuambia wewe una Akili ya kujua chochote? Anza kuwa na Akili za kujua kuwa yapo maovu mengi kabla ya ujio wa Yusuph Manji na bado Takukuru hawajawahi kuwahoji wezi wenzako acha upumbavu wako kuwa mnufaika wa huo wizi wa ununuzi Ndege isiwe sababu ya kujitoa fahamu zote kishamba hivyo
 
we mwehu nini kwahiyo kama amefanya rushwa ulitaka wamchekee na kumkaribisha kwa bashishi...utopolo bana hizo ni kesi zilizokuepo
Utopolo ni kuwaacha wezi ununuzi wa Ndege ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ufisadi wa Ndungai india upotevu wa trilion 1.5 kisha kuhangaika na Manji kwa kosa lingine ambalo siyo Rushwa
 
Meenyewe nimehisi kitu kama hicho na baadae ataonekana hata hatia
Karibu boss Manji
Wanamtisha aogope kufungua kesi nyingi hasa kwa Bashite ambaye ni chanzo cha manyanyaso dhidi yake yaliyopelekea kuporwa mali zake nyingi
 
Watetezi wa Yusuph Manji siyo Bavicha acha kuwasingizia Bavicha Tambua kuwa Manji alikuwa kawekeza miradi mingi mikubwa na pindi mlepenyeza uonevu unyanyasaji wenu wengi walipoteza ajila kwake na wengi wao wanalia na Bashite hadi sasa
 
Bashite na kikundi chake ndiyo wamekula njama Yusuph Manji aanze kutishwa ikibidi akimbie tena arejee alipotoka kwani wana hofu kubwa huenda akawafungulia kesi kudai mali zake walizompora kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
 
Hofu kwa Manji ni kudai mali zake ambazo baadhi ya waonevu walijimilikisha kienyeji sasa wanaona hali itakuwa tete mwenyewe akianza kudai
 
Kama mlimshindwa kipindi cha Jiwe ndiyo mumuweze leo; kwanza jiulizeni kwa nini ameamua kurudi sasa na si wakati mwingine wowote !!
 
Sina mbavu...hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…