Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hana akili bila shaka. Na ashukuru hata kumpata huyo mnywa urojo mwenzake.Azam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki.
Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake yameamia kwa nyota wawili wa yanga sc, mayele pamoja na diara.
Tajiri huyo ameapa kuwa iwe iwavyo nyota hao watatua azam fc dirisha hili la usajili.
View attachment 2650241
Kali OngalaAmchukue na Nabi pia kama anaweza. Hivi Azam kocha ni nani?
Hii inaonyesha kuwa ni vyepesi zaidi kukwapua wachezaji kutoka Yanga, hata Simba Sc aliwahi kumchukua Morrison kwa ngebe zote na hakuna walichofanya mbele ya sheria.Hii inaonesha quality players wapo Yanga
hizo hela wangeendelea saidia yatima tu,japo zao ila wanapoteza tu hela na hakuna wapatalo kwenye huo mpiraAzam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki.
Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake yameamia kwa nyota wawili wa yanga sc, mayele pamoja na diara.
Tajiri huyo ameapa kuwa iwe iwavyo nyota hao watatua azam fc dirisha hili la usajili.
View attachment 2650241
Kwa hiyo unashauri afokasi kwa Nabi kwanza kabla ya kufikiria Mayele na Diarra?Azam wapate kwanza coach wa kudumu japo misimu miwili vinginevyo itakua kazi bure
Na afya ya akiliAmesajoliwa na Waswahili, timu inaendeshwa kienyeji, mchezaji amesajiliwa bika kufafanyiwa vipimo vya mwili na afya
Huyo Nabi umesema wewe, nmesema watafute coach wa kudumu Nabi bila kuvumiliwa hakuna mtu angejua ubora wake unataka kuniambia katika makocha sita waliopita Azam ndani ya misimu miwili hakuna mwenye uwezo wa Nabi?Kwa hiyo unashauri afokasi kwa Nabi kwanza kabla ya kufikiria Mayele na Diarra?
Alivyoapa kwa fei video uliiona?😆Weka clip ikionesha anavo apa kuwachukua hao wachezaji
Kwa hiyo wewe uliamini Al Ahly walivyomsajili Miquoson kulikuwa hakuna mchezaji yeyote pale Al Ahly mwenye uwezo wa Miquoson?Huyo Nabi umesema wewe, nmesema watafute coach wa kudumu Nabi bila kuvumiliwa hakuna mtu angejua ubora wake unataka kuniambia katika makocha sita waliopita Azam ndani ya misimu miwili hakuna mwenye uwezo wa Nabi?