Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uelewa wako ni mdogo sana unaongozwa na ujuaji kwenye mpira falsafa ni ya coach au taasisi? Klop aliomba mda gani pale Liverpool? naomba nikuache na ujinga wakoTwo seasons ndio falsafa ya wapi hiyo?
Two seasons maana yake ni two seasons of nothing
Sasa huyo ni kocha au anaitumia Club kama tuition sehemu ya kujiendeleza kielimu?
Zoran Mack ukiangalia hana record ya kumaliza msimu kwenye Club yeyote, mara nyingi hutimuliwa kufuatia muendelezo wa matokeo mabaya.
Ukiwa na mawazo kama yako maana yake ukisubiri misimu miwili, itakuwa ni misimu miwili ya kutoka patupu.
Timu zinaposajili kocha zinamkabidhi malengo ya Club, mwenendo wa matokeo mabuvu uwanjani ni sababu moja wapo inayofanya ushindwe kufikia lengo.
Kwa hiyo wewe unaamini sababu za Ahly kumsajili miquison ndizo hizi za Azam kumsajili Feisal?Kwa hiyo wewe uliamini Al Ahly walivyomsajili Miquoson kulikuwa hakuna mchezaji yeyote pale Al Ahly mwenye uwezo wa Miquoson?
Ni mapendekezo ya Rais hersi.Hao wachezaji ni mapendekezo ya benchi la ufundi?
Sio ujuaji ila wewe unataka nikubali maqazo yako ambayo ni ya uongoUelewa wako ni mdogo sana unaongozwa na ujuaji kwenye mpira falsafa ni ya coach au taasisi? Klop aliomba mda gani pale Liverpool? naomba nikuache na ujinga wako
We hata huelewi kinacho jadiliwaKwa hiyo wewe unaamini sababu za Ahly kumsajili miquison ndizo hizi za Azam kumsajili Feisal?
Uko alikokuwa mlimpa ukimwi?Amesajiliwa na Waswahili, timu inaendeshwa kienyeji, mchezaji amesajiliwa bila kufanyiwa vipimo vya mwili na afya
Wewe Simba au yanga?Azam hata wamsajili Messi hawawezi kutoboa! Timu imejaa waswahili Ile.
Hawana akili wote haoKuna watu walisema anaenda Simba Azam fc inatumika Kama Daraja la sarenda bridge[emoji1787][emoji1787]
wameajiri msenegali lakini hatadumu kwani yusufu ana urafiki na kali ambae hana vyetiAzam wapate kwanza coach wa kudumu japo misimu miwili vinginevyo itakua kazi bure
Atoke kwenda wapi?MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
Nmekuuliza Klop aliomba mda gani? Nakuongeza Arteta, Ten Haag hata Nabi kama una fatilia mpira mwisho Robertinho wa Simba alisema anahitaji mda gani?Sio ujuaji ila wewe unataka nikubali maqazo yako ambayo ni ya uongo
Club ya mpira sio daycare inaposajili kocha haiwezi kutegemea kupata mafanikio baada ya misimu miwili.
Naona umeng'ang'ana na Klopp kama hoja ya msingi lakini unasahau malengo ya Club wakati wanamkabidhi timu yalikuwa ni nini..Nmekuuliza Klop aliomba mda gani? Nakuongeza Arteta, Ten Haag hata Nabi kama una fatilia mpira mwisho Robertinho wa Simba alisema anahitaji mda gani?
Naona umeng'ang'ana na Klopp kama hoja ya msingi lakini unasahau malengo ya Club wakati wanamkabidhi timu yalikuwa ni nini..Nmekuuliza Klop aliomba mda gani? Nakuongeza Arteta, Ten Haag hata Nabi kama una fatilia mpira mwisho Robertinho wa Simba alisema anahitaji mda gani?
Hata SawadogoHii inaonyesha kuwa ni vyepesi zaidi kukwapua wachezaji kutoka Yanga, hata Simba Sc aliwahi kumchukua Morrison kwa ngebe zote na hakuna walichofanya mbele ya sheria.