Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Aweke Hela nzuri mezani sio kutaka kupitia njia za mkato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akichukua kikosi chote hawezi kuwa yyteAzam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki.
Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota Feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake yameamia kwa nyota wawili wa Yanga sc, Mayele pamoja na diara.
Tajiri huyo ameapa kuwa iwe iwavyo nyota hao watatua azam fc dirisha hili la usajili.
View attachment 2650241