Yusuphu Manji Kuzikwa Leo Saa Tisa Frorida Marekani

R.I.P Yusuf
 
R.i.p japo mimi ni simba mchango wako kwa soka ulikuwa mkubwa sana engineer pale bwawani kwenu walau kwa miaka 5 ijayo paiteni hata manji stadium kuuenzi mchango wake baadae mtapatafutia jina jipya
 
Habari ya msiba unachanganya na uchawa wako wewe ni mzima kichwani kweli?
 
Ushimen pole kwa safari kiongozi. Natumai utawah maziko ya classmate wako.
 
Dege letu kubwa dream liner asingekuwa ameifilisi mama Yao Kwa safari zake zisizo na faida tungelipanda Wana yanga kwenda kumzika ndugu yetu huko Florida.
 
Ndio maana tunasemaga akili huna! Wewe umeona kabisa pameandikwa Florida, wewe unaandika frorida. Yani huna ata basic skills za comprehension. Ndio maana kutwa kuandika ujingaujinga huna uwezo wa kuelewa vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…