Yusuphu Manji Kuzikwa Leo Saa Tisa Frorida Marekani

sasa mambo ya mama yametokea wapi hapa? mbona unakua ndezi wewe?
 
Hivi hakuwa mtanzania au? Maana sidhani kama shida ni gharama za kusafirisha ilhali baba yake kazikwa huko huko.
Binafsi naona binadamu tumezidiwa hata na ndege linapokuja suala la kufurahia zawadi ya maisha. Ndege hawana mipaka, hawajui hapa ni moshi na pale ni mwanga wao popote kambi.
 
Bora walivyoamua kumzikia huko huko maana ingekuwa huku kungekuwa full shobo wanasiasa na wasanii kwenda kuuza sura.
Ukiona watu wanakwenda kwa wingi kwenye msiba wa mtu fulani ,ujuwe ni ishara ya kuwa mtu huyo aliishi vyema na watu,alipendwa na kushirikiana na watu wote pamoja na kugusa maisha ya wengi ambao wangetamani kuendelea kuwa naye na kuishi naye. Ni ishara ya kuwa alikuwa ni mtu wa watu .
 
Hivi nimesahau,Manji alikuwa Mtanzania kweli?Maana Mtanzania wa kweli kuzika Marekani,mm,sielewi.Tena worse baba yake naye alizikwa Marekani.Hawa jamaa bwana,you can never trust them.
 
Wewe CHAWA utazikwa huku huku kwetu Mwandoya.

Unaowasifiaga kumbe huku wanakuja tu kuchuma!! Wewe utazikwa huku huku na uchawa wako
mwandoya . Dah umenikumbusha pande za meatu mwanhuzi.
 
Hivi nimesahau,Manji alikuwa Mtanzania kweli?Maana Mtanzania wa kweli kuzika Marekani,mm,sielewi.Tena worse baba yake naye alizikwa Marekani.Hawa jamaa bwana,you can never trust them.
Kaka kuna mahali nilipataga kusoma kijitabu fulani, kuna sentensi niliipata humo inayosema. Nanukuu.'spies comes in many shapes....'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…