Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Ndio alikuwa mtanzania na ndio maana aliweza hadi kuwa Diwani.Hivi nimesahau,Manji alikuwa Mtanzania kweli?Maana Mtanzania wa kweli kuzika Marekani,mm,sielewi.Tena worse baba yake naye alizikwa Marekani.Hawa jamaa bwana,you can never trust them.
Easy Papa Manji.Hata hivyo sidhani kama kuchukuwa uraia wa marekani ni sawa na kuukana wa Tanzania.
Pamoja na kwamba hakuna uraia pacha Tanzani, lakini watu hawaelewi hilo.
Hivi kuzikwa na watu wengi kunasaidia nini,mbona hamna ni inventions tu za wanadamu.Bwana Yesu mwenyewe alizikwa na watu wawili tu:Nikodemu na Yusufu,and the Bible does not show us that he even attended a funeral!Alipo-ombwa na mmoja wa Mitume wake aende akamzike baba yake, alimuambia "waache wafu wazike wafu wao,meaning waache waovu wazike waovu wenzao,wewe twende tukahubiri Injili!"Ukiona watu wanakwenda kwa wingi kwenye msiba wa mtu fulani ,ujuwe ni ishara ya kuwa mtu huyo aliishi vyema na watu,alipendwa na kushirikiana na watu wote pamoja na kugusa maisha ya wengi ambao wangetamani kuendelea kuwa naye na kuishi naye. Ni ishara ya kuwa alikuwa ni mtu wa watu .
Umewahi hata kumjuwa Tabu Mangala au unabwabwaja tuR.i.p japo mimi ni simba mchango wako kwa soka ulikuwa mkubwa sana engineer pale bwawani kwenu walau kwa miaka 5 ijayo paiteni hata manji stadium kuuenzi mchango wake baadae mtapatafutia jina jipya
Hipocrisy.Ndio alikuwa mtanzania na ndio maana aliweza hadi kuwa Diwani.
Mwenye akili analijua hili,mjinga hawezi kujua,anaona all is fine.Yeah,spies come in many shapes indeed.Infact he was a "slipper agent."Kaka kuna mahali nilipataga kusoma kijitabu fulani, kuna sentensi niliipata humo inayosema. Nanukuu.'spies comes in many shapes....'
acha pang'ang'a hapa bwana we. Kibongo bongo ukiwa na jina watu wanakuja kuuza sura tu sio kukupenda wala nini.Ukiona watu wanakwenda kwa wingi kwenye msiba wa mtu fulani ,ujuwe ni ishara ya kuwa mtu huyo aliishi vyema na watu,alipendwa na kushirikiana na watu wote pamoja na kugusa maisha ya wengi ambao wangetamani kuendelea kuwa naye na kuishi naye. Ni ishara ya kuwa alikuwa ni mtu wa watu .
Ha ha haaa!! Bwashee hapo ndo kilipo kijiwe changu. Nina duka la spea za baiskeli hapo!! Acha huyu chawa Lucas kazi yake kusifia tu wanaume!! Mpaka aukwae ndo atakomamwandoya . Dah umenikumbusha pande za meatu mwanhuzi.
Mimi siyo chawa hata kidogo.Ha ha haaa!! Bwashee hapo ndo kilipo kijiwe changu. Nina duka la spea za baiskeli hapo!! Acha huyu chawa Lucas kazi yake kusifia tu wanaume!! Mpaka aukwae ndo atakoma
Na huwezi ukawa na jina zuri kama unaishi vibaya na huna mahusiano mazuri na watu .lazima ukubali tu kuwa mpaka ufikie hatua ya kuwa na jina kubwa ni lazima uwe na misingi mizuri ambayo itakufanya watu wakuinue iwe ni kibiashara, kisiasa,kimuziki n.k.acha pang'ang'a hapa bwana we. Kibongo bongo ukiwa na jina watu wanakuja kuuza sura tu sio kukupenda wala nini.
Wewe umeshawahi kumuona Muhindi mwanajeshi Bongo?Hivi nimesahau,Manji alikuwa Mtanzania kweli?Maana Mtanzania wa kweli kuzika Marekani,mm,sielewi.Tena worse baba yake naye alizikwa Marekani.Hawa jamaa bwana,you can never trust them.
Wewe ni kunguni kabisa.Mimi siyo chawa hata kidogo.
Nimekusamehe.Wewe ni kunguni kabisa.
Ukijitathmini kauli na mwenendo wako hapa jf unahisi utaambatana na matendo gani na je hiki unachokifanya kila siku hapa jamvini unafikiri Mungu anapenda tabia za kinafiki?Ndugu yangu badilika kama ni njaa angalia namna nyingine ya kujitaftia kipato na sio kutumia muda wako kufanya upuuzi uliozowea kuuleta hapa yani we jamaa huwa unaniharibia mood kuliko maelezo basi tuMatendo yako ndio yatakayo kubeba .ikumbukwe ya kuwa utaambatana na matendo yako mpaka kaburini.
Wewe unaishi kwa uchawa siwezi bishana na wewe maana kazi yako kuu ni kusifia hata mavi yaonekane kama chocolate.Na huwezi ukawa na jina zuri kama unaishi vibaya na huna mahusiano mazuri na watu .lazima ukubali tu kuwa mpaka ufikie hatua ya kuwa na jina kubwa ni lazima uwe na misingi mizuri ambayo itakufanya watu wakuinue iwe ni kibiashara, kisiasa,kimuziki n.k.
Alikuwa na mchango mkubwa snRip Yusuph Manji
😭😭😭
Hivi ubungo plaza ilisharudi serikalini? Au bado inasomeka kama mali ya Quality group? Ila Manji alikuwa master kwenye deal za hela, huyu labda umfananishe na Rostam tu ndiyo wanaweza kuendana, wajuvi wanasema Rostam level yake ni catholic church kwa michongo,au Aga khan.alikuwa muhindi lkn na fisadi btw. madeni yetu alilipa au nani mrithi wa madeni ayalipie ..