Mbongo mnaweza mkawa mnachat ukamuuliza "Unakwenda kulala?" ,Yeye atakujibu "Ndio narara."Gazeti limeandika "Florida" vizuri tu wewe unaweka ufundi wako unaandika "Frorida" hadi kero kusoma hilo jina.
Hata hivyo umesahau kumsifu mama yako kwa kufanikisha mazishi haya kufanyika kwa wakati huko Marekani.
SawaNdio maana tunasemaga akili huna! Wewe umeona kabisa pameandikwa Florida, wewe unaandika frorida. Yani huna ata basic skills za comprehension. Ndio maana kutwa kuandika ujingaujinga huna uwezo wa kuelewa vitu.
Wewe ni mjinga! Waislam wanazika haraka alipofia mpendwa wao! Hawana mbwebwe kama wengine, mfano sisi wakristo!Hivi nimesahau,Manji alikuwa Mtanzania kweli?Maana Mtanzania wa kweli kuzika Marekani,mm,sielewi.Tena worse baba yake naye alizikwa Marekani.Hawa jamaa bwana,you can never trust them.
Kuna shida bwana, it is not as simple.Sawa
Wewe ni mjinga! Waislam wanazika haraka alipofia mpendwa wao! Hawana mbwebwe kama wengine, mfano sisi wakristo!
Kwahiyo uraia wao Tanzania ni magumashiNdugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.
Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake.
Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.
Apumzike kwa Amani, Mungu amuangazie Mwanga wa milele.
View attachment 3030522
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Marehemu kala sana hii nchi!!Ndugu zangu Watanzania,

Kuita wengine wajinga hakukufanyi uwe na akiliSawa
Wewe ni mjinga! Waislam wanazika haraka alipofia mpendwa wao! Hawana mbwebwe kama wengine, mfano sisi wakristo!
Sasa akaonane na moto huko !! au akapige michongo aingie mbinguniHivi ubungo plaza ilisharudi serikalini? Au bado inasomeka kama mali ya Quality group? Ila Manji alikuwa master kwenye deal za hela, huyu labda umfananishe na Rostam tu ndiyo wanaweza kuendana, wajuvi wanasema Rostam level yake ni catholic church kwa michongo,au Aga khan.
So unasikitika kwa kuwa Yanga aliwapa raha,wewe ni mnafiki sana aisee.Huyu mwamba ameniuma sn, Yanga alitupa raha sn
Wewe kibaka masikini utazikwa wapi!!?Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.
Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake.
Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.
Apumzike kwa Amani, Mungu amuangazie Mwanga wa milele.
View attachment 3030522
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na huko marekani SI ndio peponi kwenyeweUkizikwa marekani unakua nusu kufikia peponi, kuna watu watabisha
Maisha yangekua yanachosha kama tungeishi milele.Everything is temporary,we're all gonna return to dust one day,
I don't think anybody can ever understand life,it feel more pointless,what's the point in living?
R.I.P Yusuphu.
Mkuu hakuna watu hipocrites na double dealers kama Wahindi.Wewe umeshawahi kumuona Muhindi mwanajeshi Bongo?
Basi ujuwe kwao India wanalo jeshi.
You are so ignorant mkuu,Marekani ni peponi?Wewe hupajui kabisa, unapasikia tu kwenye vijiwe. America is hell for most people mkuu,except for the 1%.Na huko marekani SI ndio peponi kwenyewe
You are so ignorant mkuu,Marekani ni pepote?Wewe hupajui kabisa, unapasikia tu kwenye vijiwe. America is hell for most people mkuu,except for the 1%.
Udongo Sio poa mkuu...unameza.Huyu mwamba ameniuma sn, Yanga alitupa raha sn
Napafananisha na mahali ambapo watu wanaishi kwenye makeshift huts za tarpaulins na kula vyakula vya majalalani.Huo ndio ukweli wa Marekani mkuu.Nadhani Tanzania hatuna sehemu za aina hiyo.Mnayoambiwa kwenye vijiwe vya ngada ni uongo mtupu.Mimi niliquote tu alicho changia mchangiaji π€£π€£π€£ kumsupport ila tuseme tu...ukweli hapa Tanzania unapafananisha na wapi huko mareKani πππ
Kubari kataa sisi tupo motoni... wenzetu wapo peponi...!