Yutong na Scania


Mtwara raha wala isingeweza kufukuza yutong hata siku moja!
ile kwa kipindi kile ndo ilikuwa bus nzuri na yenye afadhali(nafuu),kama sio mpya kwa route ile ukiyafananisha na ng'itu,machinga,buti na mengneyo ambayo yalikuwa tia maji tia maji.
 
Kwa Mtwara Raha, nakumbuka wakati barabara iko mbovu ilikuwa inaingia Mtwara saa7, na kuna siku ilikuja Dar na kugeuza Mtwara,ilifika saa 2 usiku. Ilikuwa inatembea kaka! Wakaizuia utaratib wa kwenda na kugeuza.
 
km ni spidi si kila scania inakimbia, kumbuka zimeachania nguvu(horse power) kuna zingine nimeona f310 zingine f330 na kuendelea na ndo maana mnaona zinapitwa na yutong. Cha kujiuliza hapa inakuwaje wale wafanyabiashara waliokuwa wanaleta scania mbona wanaleta yutong sasa? Pia ni ngumu cku hizi kukuta basi jipya scania. NB:hata km yutong inaharibika baada ya miaka miwili tu lkn faida inakuwa imeleta. Pia kumbukeni kuna swala la garantee jamani
 
 
me natumia route ya dar mbeya/ mbeya dar frequently, ebwana wacha mchezo kwa scania. yutong nyingi zinachemka milimani lakini scania mwendo mdundo, happy nation ndo gari inayoongoza kwa kutembea route ile na ni scania.
 
Kwa bei Scania kwa sasa Mpya yenye bodi ya Marcopolo ni Tsh kati ya 400-450m/- wakati Yutong kati ya Tsh 120,160-200m/-. Marcopolo orijino ni body za fibre na ni kampuni ya Kibrazil yenye ofisi pia A/Kusini
 
 
Yutong ni mi china, Scania mi sweden. Vitu viwili tofauti. Ni sawa na ku compare Samsung galaxy s2 na Tecno b3. I realized chochote atengenezacho mchina huwa either hakikamiliki au utarudi tena dukani kuongeza kitu au vitu ili kifanye kazi inayotakiwa.
Mfano nina Techo B3 ni simu nzuri lakini internal memory yake ni 175mb, means all the time time na run kwenye low space disc.

Turudi kwenye Yutong. Body la yutong ni very light. Ukilinganisha na body la Marcopolo na Irizar.
Tatizo la Yutong ni Diff(rear axle) na Gearbox ni low speed compare na scania.
Kuna Yutong moja inaitwa 888 au Cash money Dar Kahama. Hiyo gari imefungwa engine, gearbox na diff ya Scania. Huwezi amini tuliondoka Kahama 20mins behind other buses lakini by Nzega sisi tulikuwa tuko mbele ya marcopolo 3 na Zhongtong.

Scania still scania but body ni nzito.
 
kweli kabisa kaka, zile LEINA TOURS si bure yawezekana kafunga engine za malori


 
umenikumbusha mbali sana enzi za utawala wa MTWARA RAHA zilikua zinatembea sana, baadae akatawala CHATCO CHARTER CC kwa ruti za dar, mtwara to tandahimba, ikikupita muungurumo wake ni kama mashine ya kusaga ya diesel


Kwa Mtwara Raha, nakumbuka wakati barabara iko mbovu ilikuwa inaingia Mtwara saa7, na kuna siku ilikuja Dar na kugeuza Mtwara,ilifika saa 2 usiku. Ilikuwa inatembea kaka! Wakaizuia utaratib wa kwenda na kugeuza.
 
Nipo na Dar Expres natoka Korogwe Hatari,kuna gari zimetoka korogwe Saa mbili,tunazihesabu tu,nimetoka Korogwe nne na nusu,Scania nomaa sanaa,natafuta Wami sasa hivi
 
Yutong zinabuma sana,nzuri zikiwa mpya,kosa kubwa kuilinganisha na scania,mkuu labda daf cf

Ningekupa likes 1000 achana na Scania Kabisa! Yutong wanazipenda labda kwenye bei inakuwa rahisi lkn mziki wa scania ni kiboko hakuna mfano
 
mnapoongea safari ndefu tafuteni magari ya kwenda Kigoma ama Bkb 1,500km masaa 18 njiani ndo muongee magari ya safari ndefu huwezi kuita Mtwara kutoka Dar ni safari ndefu na
kwa safari ndefu hivi scania ndo maala pake mazee.
 
Yutong zinakimbiliwa sababu ni nafuu. Ila hata siku moja yutong haiwezi kuizidi scania. Labda ukute scania mbovu.
 
Tumegonga KIMA tunaendelea tunaitafuta Chalinze,Scania hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…