y-n
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,389
- 2,510
Kwa route ya kusini hata
iweje zile engine za lorry za wahidas awapite Buti la Zungu, Machinga,
Najma,Hamanju hawa jamaa wanamagar ya kichina yanatembea hatari. Ila
kulikuwa na Scania moja likiitwa Mtwara raha, nakuhakikishia hawa wote
na Yutong zao wangesoma plate number. MTWARA RAHA ilikuwa ni subscania
inatembea ajabu. Kwa wakazi wa Mtwara na wenyeji wa njia ya kusini kwa
ujumla wanalifahamu hili basi, wanaweza kuhadithia vizuri(the big
show,sizinga) watusaidie. Hivyo kiuimara scania ni the best
Mtwara raha wala isingeweza kufukuza yutong hata siku moja!
ile kwa kipindi kile ndo ilikuwa bus nzuri na yenye afadhali(nafuu),kama sio mpya kwa route ile ukiyafananisha na ng'itu,machinga,buti na mengneyo ambayo yalikuwa tia maji tia maji.