Za ndani ni kuwa G-55 wamevurugana vibaya. Wameanza kusalitiana na kutishana

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.

Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.

Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.

Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.

Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
 
Appostle kuna muujiza huku.
 
Mimi niliye nje huwa naona siasa ni mchezo wa mbwa kala mbwa. Sasa hao walio ndani kwa nini baadhi ya walio siasani wanachezewa na kupelekeshwa kama kondoo. Au ndio mchezo wa kumuona mtu flani kama ni ngazi yako kwenda kwenye mafanikio na kumbe ni daraja la kuelekea akhera

Hata hivyo, habari iwe ya kweli ama si kweli. Wacha wafu wazikane
 
Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.

Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.

Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.

Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.

Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Tushike lipi? NRNE au G-55?
 
Sijui nani kawatibua hawa jamaa
Hata hawajatibuliwa. Ilikua ndio tabia zao za chinichini zilivyo. Sasa ndo wanatuonesha waziwazi bila chenga.Nawaonea huruma wale chadema real members kama kina soka walivyoenda kuuwawa kisa hichi chama cha wanafki ,bora wangechagua upande wa kulamba asali wangekua hai hadi leo vijana wa watu.
 
Back
Top Bottom