Za ndani ni kuwa G-55 wamevurugana vibaya. Wameanza kusalitiana na kutishana

Za ndani ni kuwa G-55 wamevurugana vibaya. Wameanza kusalitiana na kutishana

Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.

Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.

Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.

Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.

Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Wale wapuuzi si kama kweli walikuwa wanataka kuondoka Chadema sema ni njaa tu ndiyo inawasumbua, Mbowe aliwachezea sana akili wanachama wake huku akiwa kuwadi wa CCM, the guy was never really a threat kwa CCM kwa sababu alikuwa anashirikiana nao huku yeye akijilia ruzuku tu na kuwacheka watanzania waliokuwa hawajuwi michezo yake. Hata hawa makada wanaojitoa huko mikoani baada ya kununuliwa na CCM nao itakuwa hivyo hivyo tu, wakishajitoa na kulipwa ndiyo mwisho wao....hawatasikika tena. Njaa mbaya.
 
Mwanzo tuliambiwa hawana madhara.Hadithi imeanza kubadilika.Nyumba ya barafu inaendelea kuyeyuka.Visingizio kuhusu kununuliwa vimeanza kuwa outdated.Ukweli utadhihiri tu ni suala la muda.
Subiri moto utawaka soon
 
CHADEMA hakuna watu wenye reasoning in general.

Unaemwamini ana akili Leo kesho anafanya upumbavu wa kutandikwa vibaohadharani.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wale wapuuzi si kama kweli walikuwa wanataka kuondoka Chadema sema ni njaa tu ndiyo inawasumbua, Mbowe aliwachezea sana akili wanachama wake huku akiwa kuwadi wa CCM, the guy was never really a threat kwa CCM kwa sababu alikuwa anashirikiana nao huku yeye akijilia ruzuku tu na kuwacheka watanzania waliokuwa hawajuwi michezo yake. Hata hawa makada wanaojitoa huko mikoani baada ya kununuliwa na CCM nao itakuwa hivyo hivyo tu, wakishajitoa na kulipwa ndiyo mwisho wao....hawatasikika tena. Njaa mbaya.
Mijitu inapikwa huko
 
Siasa hainaga mkweli hata mmoja ndo maana hawaminiki na hata hao mnaoona wanafaa ngoja wapate shavu nono mtaelewa sura zao
 
Ni afadhali ya shetani unayemfahamu kuliko Malaika usiyemjua.
 
Back
Top Bottom