Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Imagine mtu ana hongwa laki 3 na anauza chama, ana sariti wananchi, yaani laki 3😁 just imagine. Huyu akipewa 10M si anaweza kuiza Tanzania yote? Yaani laki 3? Daa
Tiss waingilie kati kuvujisha taarifa zote. Tunahitaji siasa safi.Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Hiyo ni asili ya chakandumuzUnaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Wa chama gani huyo?Imagine mtu ana hongwa laki 3 na anauza chama, ana sariti wananchi, yaani laki 3😁 just imagine. Huyu akipewa 10M si anaweza kuiza Tanzania yote? Yaani laki 3? Daa
Nini 10m wale vinara wamedakishwa 200m ili wawagawie wanachama wa kawaida sasa wamekuwa mabahili ndiyo maana siri zimeanza kuvuja, maana utakuta kuna wa 20k,50k 100k sasa wakianza kusimuliana ndiyo nyaya zinagusana na kuanza kutoa checheNi kweli umeambulia 100K wakati wenzako wamekula 10M!!!??
Mungu hadhihakiwi acha awaumbue walio kinyume na taifa,na kinyume na matarajio ya watanzania.Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Mnara wa Babel....Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Hebu toa hoja yao unayoona wewe ina mashiko na sisi tulioshindwa kuwaelewa tubadili msimamo..G55 akili kubwa.Hoja zao hazijajibiwa na vibaka na matapeli wa siasa.No Election No Reforms
Uhaini huuUnaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Ni kweli umeambulia 100K wakati wenzako wamekula 10M!!!??
Inasemekana inasemekana inasemekanaUnaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Boni Yai kesho anafunguka yoteSasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Na badoo😂😂 mpk ifike JulyUnaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Siasa za hii nchi ni uhuni mtupuUnaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Nabii zinatimia Wala sio uongo na badoo twende mpk JulyHahaaa...Za kuambiwa.. .
😂😂😂DJ kama siyo yeye ameuchuna kusikilizia moto aliowasha nani atauzima.
Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.