Adui yetu ni NRNE.Tushike lipi sasa G-55 au NRNE kamanda? Yupi ni adui yenu kwa sasa?
Mratibu wa njaa55 Mrema itakuwa kawadhulmu wenzakeHela nyoko sana
Pesa za kupewa Ili mkagawane bila kuzifanyia kazi yoyote ni lazima zisababishe kutoana ngeu...Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Hahahahaaaa!Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Simameni hapo sasa!! G-55 wana haki ya kwenda popote na kufanya siasa za mrengo wowote wanazoona zinafaa kwa mujibu wa sheria.Adui yetu ni NRNE.
Ile sura ya kipigaji kabisa ile ndiyo maana alikuwa anapiga mayowe sana kuliko wenzake wote. Kinachofuata wataanza kuuana sasa.Mratibu wa njaa55 Mrema itakuwa kawadhulmu wenzake
Wewe unavimbisha kalio siyo?Yeye anakula fungu lake tu anawasiwasi gani mtajuana wenyewe huko wavimba macho
Hovyo snIle sura ya kipigaji kabisa ile ndiyo maana alikuwa anapiga mayowe sana kuliko wenzake wote. Kinachofuata wataanza kuuana sasa.
Usaliti ni roho, itawatesa sanaTabia ya wasaliti ni kusalitiana
Mchawi akikuombea, ujue dua yake haina faida kwako. Mpango wa Mrema, kigaila na mwalimu umekufa ghafla Sana hata Lissu bado hajatoka!!Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Hawa chadema ndo walikuwa wanataka kuongoza nchi kweli?Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Ni kweli umeambulia 100K wakati wenzako wamekula 10M!!!??Tushike lipi? NRNE au G-55?