Za ndani ni kuwa G-55 wamevurugana vibaya. Wameanza kusalitiana na kutishana

Halafu ndo walitaka wananchi waandamane kutetea matumbo yao!! Thubutuu
 
Hata hawajatibuliwa. Ilikua ndio tabia zao za chinichini zilivyo. Sasa ndo wanatuonesha waziwazi bila chenga.Nawaonea huruma wale chadema real members kama kina soka walivyoenda kuuwawa kisa hichi chama cha wanafki ,bora wangechagua upande wa kulamba asali wangekua hai hadi leo vijana wa watu.
Ukiiweka hivi inaumiza sana sana.

Kwamba wamesahau au hawajali?

Hatari sana!
 
Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.

Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.

Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.

Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.

Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Hizo milion 5 za kugombea ubunge wanasema Mrema kapewa nyingi,

Jnne rasmi Chauma.
 
Usikute anangojea upande gani utakaoshinda ili aibukie huko huko na kutoa speech fulani matata ya kujichotea pwenti 3 muhimu.
Amewazuga kwanba yeye ahami sasa ,maana eti yuko kamati kuu na ana kesi kule zanzibar.
Mbinu ya kimedani ya kupima mafriko na miguu
 
Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.

Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.

Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.

Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.

Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Na hizi ni za Nje au? 😂😂👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1923815621801693376?t=Umu8qRGFtnmdGTUr-iGEuA&s=19
 
Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.

Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.

Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.

Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.

Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Hivi ukipokea hizo hela zao halafu ukazipiga na usihame watakufanya nini?
Au kitengo wanakupoteza fasta?
 
Hata hawajatibuliwa. Ilikua ndio tabia zao za chinichini zilivyo. Sasa ndo wanatuonesha waziwazi bila chenga.Nawaonea huruma wale chadema real members kama kina soka walivyoenda kuuwawa kisa hichi chama cha wanafki ,bora wangechagua upande wa kulamba asali wangekua hai hadi leo vijana wa watu.
Inauma sana
 
Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.

Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.

Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.

Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.

Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Pambaf kabisa hao 55
 
Mwanzo tuliambiwa hawana madhara.Hadithi imeanza kubadilika.Nyumba ya barafu inaendelea kuyeyuka.Visingizio kuhusu kununuliwa vimeanza kuwa outdated.Ukweli utadhihiri tu ni suala la muda.
 
Back
Top Bottom