uzoefu unaonesha kuwa majambazi huuana yenyewe kwa yenyewe kwenye kugawana feza walizopora!Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Duniani hatuishi milele. Kuna waliokufa wakiwa na umri mdogo kuliko wa kina SokaHata hawajatibuliwa. Ilikua ndio tabia zao za chinichini zilivyo. Sasa ndo wanatuonesha waziwazi bila chenga.Nawaonea huruma wale chadema real members kama kina soka walivyoenda kuuwawa kisa hichi chama cha wanafki ,bora wangechagua upande wa kulamba asali wangekua hai hadi leo vijana wa watu.
Siasa ni maslahi.Siasa kwa Wengine ni biashara
Wewe mshike Mbowe achana na wengine.Tushike lipi? NRNE au G-55?
Ndumba tuliyopiga wee subiri utaona watakavyotajanaUnaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Kwahiyo Mbowe ndo adui yenu kwa sasa au Samia na CCM yake?? Stupid!Wewe mshike Mbowe achana na wengine.
Waliyoyafanya sirini yatahubiriwa juu ya majukwaa siku c nyingiUnaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Mungu hamfichi mnafiki. Hizo pesa walizopokea ili kuuza taifa badala ya kuwa watetezi wa haki mwisho wao utakuwa kama mwisho wa yuda.Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Na bado watatoana meno mpaka na macho, walisema ukimchimbia mtu shimo hakikisha lisiwe refu maana muda si muda utafukiwa mwenyewe sasa kama ulichimba refu ndiyo byee byee 😂😂😂Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Yeye anakula fungu lake tu anawasiwasi gani mtajuana wenyewe huko wavimba machoDJ kama siyo yeye ameuchuna kusikilizia moto aliowasha nani atauzima.
G55 akili kubwa.Hoja zao hazijajibiwa na vibaka na matapeli wa siasa.No Election No ReformsUnaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai alimtumia muamala wa TZS 300,000 mwezi wa tatu mwaka huu na Mchome akaweka ambatanisho kuwa "Nakushukuru Bony yai kufanikisha jambo la akidi kwa msajili" Lakini unaambiwa hiyo risiti ilipostiwa ili kuvuruga watu baada ya kuambiwa ukweli kuwa ahami mtu. Matarajio yakaangushwa chini.
Aidha ishu yao ya manunuzi kumbe kina Mrema, Kigaila, Salum walivuta mpunga wa maana kisha wanafanya kubageini na wahamaji kuwapunja na ndiyo maana walikuwa wanahama mafungu mafungu. Wanatumia wenzao kufanikisha mchongo wao ambao ni dhahiri waliondoka chamani baada ya kuwa hawana lao tena.
Sasa huko NJAA-55 ni vurugu mechi na huenda ndani ya siku chache zijazo wakaanikwa kila kitu mpaka aliyekuwa kinara wa huo ushenzi.
Ila nyie G55 mna vituko, uzuri wako ww ulivuta mpunga wako kabisa kwenye press zile za mwanzo.Tushike lipi? NRNE au G-55?
akili iko wapi pale wakati wanapoteana?G55 akili kubwa.Hoja zao hazijajibiwa na vibaka na matapeli wa siasa.No Election No Reforms
Changaya na zakwakoHahaaa...Za kuambiwa.. .
😀😀😀Wameanza kulogana
Tushike lipi sasa G-55 au NRNE kamanda? Yupi ni adui yenu kwa sasa?Ila nyie G55 mna vituko, uzuri wako ww ulivuta mpunga wako kabisa kwenye press zile za mwanzo.