TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

🤔
 
Kuna daktari alishauri nguvu inayotumika kudhibiti corona tungeitumia kupambana na magonjwa nyemelezi, tusingekuwa na hofu ya uviko
 
Hakuchanjaa
 
Kama alichanja akiwa Kenya basi huenda alichomwa maji tu na siyo chanjo.
 
Kama alichanja akiwa Kenya basi huenda alichomwa maji tu na siyo chanjo.
Kwamba chanjo zinafanya kazi? The facts are, admitted patients, more than 50% are full vaccinated. Kinachoshangaza, watalaam hawataki kukiri ubutu wa ma chanjo yao
 
Wakati wachezaji wa simba wakwenda kuchanjwa tayari hans alikuwa amelazwa
 
Badilisha hicho kichwa cha habari..

Una malengo ya kupotosha huu uzi wako.
 
Hujaelewa? Amechanjwa lkn kuchanjwa kwake hakuzuii kufa kwa corona sababu alikuwa na maradhi mengine
Pia nasikia chanjo inadumu miezi 6 tu,, mliopiga chanjo haipaswi mjisahau na kujichanganya bila barakoa,,
Matajiri wengi walipiga chanjo na wakaachana na tahadhari,, ndo maana wanaondoka sana,
Putin mwenyewe alupiga chanjo, lakini sasa kaji isolate baada ya ku contact na watu wenye corona,,
Vaa barakoa, epuka msongamano
 
Chanjo inasaidia nenda kachanje wachcha blah blah
 
Marehemu Hans pope asitumike kisiasa kubusti chanjo ya uviko ,anayeataka achanje asiyetaka asichanje kupanga ni kuchagua
 

Hakurudi kupata chanjo ya 2
 
Haina maana ukichanja Uviko ndo unakuwa safe 100% mzee hii ndo unasikiaga homa ya dunia

Na kuna tetesi kitaani ya kwamba ile team ya waunda virus vya Uviko wote washakufa Hivyo kinachofanyika kwa sasa ni wakati mataifa makubwa kupiga deal

Ng'ang'ania kuchaja shekh ili uepuke kifo😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…