Wana bodi salaam.
Hans Pope, Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya simba na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi, alifariki dunia wiki iliyopita na kuacha simanzi kwa wapenzi wa mpira, club ya simba, mashabiki na kubwa zaidi familia yake.
Wakati anaumwa na kulazwa, alifanya mahojiano na Maulid Kitenge, na kichwa chake alikiri kuwa amelazwa kwa sababu ya tatizo la covid 19. Lakini natambua kuwa viongozi wa simba na wachezaji, wote walienda Hospital kwa ajili ya chanjo ya uviko 19. Je Hans hakwenda? Hakuchanja? Au ndo sisi ambao tunasubiri kuona effectiveness ya chanjo tuendelee kusubiri? Maana wengi bado tunaona kuchanja ni fashion tu si kwamba kunasaidia kujinga na uviko 19.
Nchi zilizokuwa na mass vaccination, bado maambukizi yako juu na nusu ya waliolazwa ni waliopokea chanjo zote mbili hadi tatu lakini bado gonjwa linasumbua.
Takwimu ziongee
View attachment 1938255
Link:
View attachment 1938255